Kiwango safi cha nyota kinda wa England Luke Shaw cha hivi sasa kimezaa mafanikio kufuatia kupata zawadi ya kuitwa kwa mara ya kwanza katika kikosi cha timu ya taifa ya England huku mawasiliano baina ya Luke na kocha wa Roy Hodgson yakinaswa na klabu ya Southampton.
Kipande cha video kimerushwa hewani na Sunderland ( tazama picha juu) kikimuonyesha mlinzi huyo wa kushoto akiongea na Roy huku pia mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 19 akionekana kushangaa kuitwa kwake katika timu ya taifa.
Wengine walioitwa ni Raheem Sterling wa Liverpool Jermain Defoe wa Toronto
FC ilhali Steven Caulker akiitwa kuchukua nafasi ya majeruhi Phil
Jagielka kuelekea kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Denmark.
Kikosi kamili
Goalkeepers:
Fraser Forster (Celtic), Ben Foster (West Bromwich Albion), Joe Hart (Manchester City), John Ruddy (Norwich City).
Defenders:
Leighton Baines (Everton), Gary Cahill (Chelsea), Steven Caulker
(Cardiff City), Ashley Cole (Chelsea), Glen Johnson (Liverpool), Luke
Shaw (Southampton), Chris Smalling (Manchester United), Kyle Walker
(Tottenham Hotspur).
Midfielders:
Ross Barkley (Everton), Michael Carrick (Manchester United), Tom
Cleverley (Manchester United), Steven Gerrard (Liverpool), Jordan
Henderson (Liverpool), Adam Lallana (Southampton), Frank Lampard
(Chelsea), James Milner (Manchester City), Alex Oxlade-Chamberlain
(Arsenal), Raheem Sterling (Liverpool), Andros Townsend (Tottenham
Hotspur), Jack Wilshere (Arsenal).
Forwards:
Jermain Defoe (Toronto FC), Rickie Lambert (Southampton), Jay
Rodriguez (Southampton), Wayne Rooney (Manchester United), Daniel
Sturridge (Liverpool), Daniel Welbeck (Manchester United).
No comments:
Post a Comment