Nicolas Anelka amekumbana na adhabu ya kusimama kucheza michezo mitano iliyotolewa na FA ya England kufuatia kushangilia goli kwa kufanya dhihaka ya kufuta bega moja huku likiwa limeinama maarufu kama ‘quenelle celebration' katika mchezo dhidi ya West Ham kitendo alichokifanya mwezi Disemba huku ikisisitizwa kuwa haidhaniwi kuwa dhihaka hiyo ilikuwa ni ku-promote -anti-semitism-(Discrimination against Jews) ikiunganishwa na ubaguzi wa dini Jews.
Sakata la mshambuliaji huyo wa West Brom la namna alivyoshangilia katika mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 3-3 ambapo Anelka alifunga magoli mawili kipindi cha kwanza dhidi ya washika nyundo wa London.
Tangu kipindi hicho Anelka amekuwa akichunguzwa na FA, ambapo ‘quenelle’ hiyo aliyoifanya akihusishwa na upinzani mkubwa ambao uliibuka nchini kwake Ufarasna.
Hatimaye hii leo FA kupitia bodi yake ya utawala imemkabidhi mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 34 kibano cha kusimama michezo mitano
TAARIFA RASMI YA FA
‘But having considered further submissions from Leading Counsel for
The FA and Nicolas Anelka, the Regulatory Commission imposed:
‘a. An immediate playing suspension from all club football until such
time as West Bromwich Albion first team has completed five matches
‘b. Fined him £80,000
‘c. He will pay the costs of the hearing in full.’
Anelka sasa ataikosa michezo dhidi ya Manchester United, Swansea, Hill, Cardiff na Norwich.
No comments:
Post a Comment