KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, January 2, 2014

Kombe la Mapinduzi: Azam yainyoa Spice Stars ya Zanzibar bao 2-0.

Hapa kazi tu ndivyo inavyoonesha akisema beki wa timu ya Spice Stars wakati akipambana na mshambuliaji wa Azam fc Kipre Herman Tchetche katika mchezo wa Mapinduzi Cup ambao Azam imeshinda 2--0
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt. Muslih Hijja, akiisalimiana wachezaji wa timu ya Spice Stars.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt. Muslih  akiisalimiana wachezaji wa timu ya Azam na hapo akishikana mikono na Eraso Nyoni.
Kikosi cha timu ya Spice Stars kilichozamishwa na Azam bao 2-0.
Mchezaji wa timu ya Azam Erasto Nyoni akiwapita mabeki wa timu ya Spice Stars ya Zanzibar, katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya Azam imeshinda 2-0
                        Mlinzi wa pembeni wa Azam Erasto Nyoni wakiwatoka mabeki wa Spice Stars
Hapa kazi tu ndivyo inavyoonesha akisema beki wa timu ya Spice Stars wakati akikabiliana na mshambuliaji wa Azam fc Kipre Herman Tchetche katika mchezo wa Mapinduzi Cup, timu ya Azam imeshinda 2--0

No comments:

Post a Comment