KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, July 5, 2013

ANELKA AREJEA LIGI KUU YA ENGLAND SAFARI NI WEST HAM

Done deal: Youssouf Mulumbu posted this picture of Nicolas Anelka holding the West Brom shirt on Thursday afternoon
Nicolas Anelka akionyesha jezi yake mpya ya West Brom hapo jana alhamisi.
 West Brom imethibitisha kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Ufaransa Nicolas Anelka.

Anelka ambaye kwasasa ana umri wa miaka 34 ambaye alikuwa huru amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Hawthorns.
Klabu yake mpya imethibitisha kupitia mtandao wao wa Twitter wakisema 
'Albion amesiani mkataba wa mwaka mmoja akiwa huru kuongeza endapo klabu hiyo itaona ifaa kufanya hivyo'

Kocha mkuu wa Baggies Steve Clarke, ambaye aliwahi kufanya kazi na Anelka kwa muda mfupi alipokuwa katika klabu ya Chelsea amefurahishwa na kuanguka saini kwa mshambuliaji huyo.

Amenukuliwa na wba.co.uk. akisema 
'Tunaupungufu kiasi wa mtu nguvu toka mwaka jana tunajaribu kufanya sawa kwa kupata saini ya Nicolas' 

Nicolas Anelka
Msafiri kakiri pole na safari: Anelka amechezea Chelsea, Bolton, Liverpool, Manchester City na Arsenal 
 
Youngster: Anelka burst onto the Premier League stage with Arsenal in 1997, and was sold two years later

Baggies inakuwa ni klabu ya sita kwa Anelka kuchezea katika ligi kuu ya England maarufu kama Barclays Premier League baada ya  ya kucheza vilabu vya Arsenal, Manchester City, Bolton na Chelsea na pia Liverpool alikokuwa kwa mkopo Liverpool.

Alijiunga na Shanghai Shenhua mwanzoni mwa msimu uliopita lakini alielekea tena katika soka la Ulaya kwa kujiunga na Juventus.

Pia amechezea klabu ya Paris St Germain, Real Madrid na  Fenerbahce na kuitumikia timu ya taifa ya Ufaransa jumla ya michezo 69 na kuifungia jumla ya magoli 14 goals. Hajarejea tena katika timu ya taifa ya Ufaransa maarufu kama Les Bleus tangu fainali ya kombe  la dunia ya mwaka 2010 World Cup zilizo fanyika nchini Afrika Kusini.
 

NICOLAS ANELKA: A TIMELINE

1979: Born Versailles, France, March 27.
1996: September - Makes Paris St Germain debut at 17.
December - Scores twice on debut for French Under-20 team against Denmark.
1997: Joins Arsenal for £500,000, much to the outrage of PSG.
1998: Scores in 2-0 FA Cup final win against Newcastle to secure double for Arsenal but misses out on place in France World Cup squad.
1999: February 10 - Scores twice for France in 2-0 friendly win against England at Wembley.
August - Joins Real Madrid for £22million after convoluted transfer wrangle involving Lazio and Juventus.
2000: Wins Champions League with Real but after an unhappy time at the club - which included a refusal to train - he moves back to PSG for £22million. Wins Euro 2000 with France.
2001: December - Makes loan move to Liverpool.
2002: Moves to Manchester City after Liverpool decide against a permanent deal. Misses out on place in World Cup squad.
November - Refuses a late call-up by France to face Yugoslavia in a friendly international sparking a long dispute with manager Jacques Santini.
2003: May - Finishes the season as City's top scorer with 15 league goals to his name.
2004: May - Again finishes top of City's scoring charts, with an improved league return of 17 goals in 32 matches. However, Anelka misses out on selection for Euro 2004.
2005: January - Joins Fenerbahce for £7million.
2006: August 25 - Joins Bolton in club record £8million deal.
2007: May - Scores 12 goals in 39 appearances in his first season at the Reebok Stadium.
2008: January 11 - Bolton confirm Anelka has joined Chelsea for £15million.
May 8 - Sees his penalty saved as Chelsea lose Champions League final to Manchester United courtesy of a shootout.
June - Part of France's Euro 2008 squad, but starts only one game as Les Bleus crash out after the group stage.
2009: May 24 - Nets in Chelsea's 3-2 win over Sunderland on the last day of the season to be confirmed as the Premier League's top scorer for the season with 19 goals.
May 30 - Plays in Chelsea's 2-1 FA Cup final win over Everton.
2010: May 9 - Scores twice as Chelsea secure Premier League title by beating Wigan 8-0.
June 19 - Sent home from World Cup after refusing to apologise for rant at coach Raymond Domenech.
August 5 - Admits his "head was gone" during the row with Domenech - but denies swearing at him.
August 16 - French Football Federation impose an 18-game suspension on Anelka, after which the striker declares he will never represent his country again.
2011: May - Scores just six league goals as Chelsea finish the season nine points behind champions Manchester United.
December 12 - Chelsea announce they have agreed terms with Shanghai Shenhua for the sale of Anelka to the Chinese club in January's transfer window.
2013: January 26 - Anelka joins Juventus on a five-month deal but plays only three matches, two in Serie A and one in the UEFA Champions League.
July 4 - Makes his return to the Premier League signing a one-year deal with West Brom.
 

No comments:

Post a Comment