KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, July 5, 2013

KIUNGO WA BRAZIL PAULINHO KUFANYA VIPIMO VYA AFYA KABLA YA KUJIUNGA NA TOTTENHAM

Kiungo wa Brazil José Paulo Bezerra Maciel Júnior, Paulinho leo alitarajiwa kufanya vipimo vya afya katika klabu ya Tottenham kuelekea katika mpango uliopendekezwa wa kujiunga na klabu hiyo akitokea katika klabu ya Corinthians kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni £17.
Paulinho pia atakutana na meneja wa Spurs Andre Villas-Boas na mwenyekiti Daniel Levy kabla ya kuhitimisha zoezi la kuanguka saini ya mkataba wa miaka minne.

Paulinho factfile

Full name: Jose Paulo Bezerra Maciel Junior
Born: 25 July 1988
Club: Corinthians
Brazil caps: 17
Brazil goals:

No comments:

Post a Comment