KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, July 6, 2013

GAZA AKAMATWA AKIWA AMELEWA NA KUFANYA FUJO KUMBE HAJAPONA LICHA YA KWENDA REHAB

Battle: Gascoigne left rehab in the United States earlier this year after a history of alcoholism

Nyota wa zamani wa England Paul Gascoigne amewekwa ndani baada ya kukamatwa akiwa amelewa na kufanya vurugu na kutoa lugha ya kashfa katika stesheni ya treni.

Nyota huyo wa Zamnai wa England na klabu ya Newcastle ambaye aliachana na ulevi baada ya kupata tiba na ushauri alipokuwa nchini Marekani mapema kwaka huu amekamatwa baada ya kufanya tukio hilo huko Hertfordshire.

Msemaji wa kituo cha polisi cha Hertfordshire amesema 
'Police waliitwa kufuatialia tukio hilo ambapo tulielezwa kuwa kuna mtu amelewa na anafanya vurugu katika shetesheni majira ya saa 10.30 siku ya ahamisi July 4.
Family: Paul Gascoigne with ex-wife Sheryl (second right) at Windsor Racecourse last month
Paul Gascoigne akiwa na mtalaka wake Sheryl (wapili kulia) huko  Windsor Racecourse mwezi uliopita.
 
'Maafisa walitembelea eneo hilo na kumakamata Gza mwenye umri wa miaka 46 kwa makosa ya kulewa na kufan ya fujo'

Alipelekwa rumande lakini hakufunguliwa mashitaka.
Iconic: Gazza is much-loved by fans for his footballing genius and emotional outbursts on the pitch
Gazza amekuwa akipendwa sana na mashabiki kutokana aina yake ya soka aliyokuwa akicheza enzi zake.
 Iconic: Gazza is much-loved by fans for his footballing genius and emotional outbursts on the pitch
Unforgettable: Gazza scores his brilliant goal against Scotland at Wembley during Euro 96
Gazza akifunga goli safi katika mchezo dhidi ya Scotland katika michuano ya Euro 96 uwanja wa Wembley.

No comments:

Post a Comment