KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, July 6, 2013

Licha ya kuwa bado na mkataba na Arsenal, vilabu vya Galatasaray, Fenerbahce na PSG wamejiweka tayari kunasa saini ya Bacary Sagna.

Target: Arsenal defender Bacary Sagna (left)
Target: Arsenal defender Bacary Sagna (left)

 Mlinzi wa pembeni wa Arsenal Bacary Sagna amekuwa akivutia vilabu mbalimbali barani Ulaya vikiwemo vilabu vya Galatasaray, Fenerbahce na Paris St Germain.

Taarifa zinasema kuwa mlinzi huyo mwenye umri wa miaka amebakisha miezi 12 katika mkataba wake wa sasa na klabu yake na tayari mlinzi huyo ameshaweka wazi kuwa hataongeza mkataba mwingine na washika maguruneti hao wa London.

Wakala wake Laurent Gutsmuth amenukuliwa akisema 
 'Bacary bado ana mwaka mmoja umebaki katika mkataba wake lakini Fenerbahçe, Galatasaray na Paris Saint-Germain wameonyesha nia ya kumtaka'

Wkati huohuo , Real Madrid wado wanaendelea bado wanendelea kuweka kauzibe kwa mshambuliaji Gonzalo Higuain kabla Kudakwa na Arsenal.

No comments:

Post a Comment