KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, July 22, 2011

Andre Villas :Romelu Lukaku alikuwa safi katika msimu uliopita lakini tuna washambuliaji wa kutosha Bosi wa Chelsea Andre Villas-Boas amesema haitaji tena mtu wa nafasi ya ushambuliaji katika klabu yake licha ya kwamba klabu yake yenye maskani yake huko London ya kaskazini inahusishwa kumtaka Romelu Lukaku.
Taarifa zilizo chomoza wiki hii zinasema kuwa “The Blues” imeweka dau la euro milioni €22.5 kumsajili mshambuliaji huyo wa kimataifa mwenye asili ya Congo raia wa Belgium international ambaye katika msimu uliopita akiwa na Anderlecht alifunga jumla ya mabao 16 akinanishwa kiuwezo na Didier Drogba.
Lakini hata hivyo bosi huyo Villas-Boas ameweka wazi kuwa kwa kuwa ana washambulizi kama Fernando Torres, Daniel Sturridge, Salomon Kalou, Nicolas Anelka na Drogba ndani ya Stamford Bridge kwa hiyo Lukaku hana ulazima wa kuvaa jezi za “The blues”.
Akikaongea na waandishi wa habari bosi huyo mreno amesema "Lukaku had a magnificent season in Belgium.
"ukweli ndio huu juu ya kikosi chetu tunapaswa kuweka mizani sawa ndani ya kikosi na ndio umuhimu wa kuwa na kipindi kama hiki cha maandalizi ya kuanza kwa msimu.


No comments:

Post a Comment