The 'Special One' amepata jina jipya katika kklabu yake ya Real Madrid uenye maskani yake Bernabeu kufuatia klabu hiyo kufanya mageuzi au marekebisho makubwa ambapo sasa atakuwa katika jopo la watu wanao fanya maamuzi makubwa katika ngazi za juu
Real Madrid imemtangaza Jose Mourinho kuwa sasa ni meneja wa michezo “manager of sport and football” ndani ya klabu hiyo.
Kufuatia kuondoka kwa Jorge Valdano katika klabu hiyo ya Madrid mwezi May, Rais wa klabu hiyo Florentino Perez ameamua kufanya mageuzi ndani ya klabu hiyo ya
Bodi ya klabu imethibitisha mabadiliko kadhaa ambapo inaonekana Mreno huyo akipata nguvu mpya pale yanapo fikiwa mambo ya timu.

Taarifa iliyopatikana kupitia katika mtandao wa klabu hiyo inasema
"kurugenzi ya klabu hiyo iliyokutana alhamisi imethibitisha mabadiliko ambayo yanamjumuisha mkurugenzi mkuu Jose Angel Sanchez na Manuel Redondo watakuwa wanawajibika kwenye ofisi ya mwenyekiti na Jose Mourinho ameteuliwa kama meneja wa michezo na mpira wa miguu."
Mbali na hilo Mourinho atakuwa anawajibika katika maamuzi yanayohusiana na timu kama vile uhamisho wa wachezaji.
Bosi huyo wa zamani wa Inter Milan atasalia na nafasi yake kama kocha mkuu wa timu lakini sasa amekamilisha mamlaka yake katika eneo la ufundi la klabu.

No comments:
Post a Comment