KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, July 22, 2011

Rasmi: Juventus yamsajili Arturo Vidal wa Bayer Leverkusen Juventus imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo wa Bayer Leverkusen Arturo Vidal kwa ada ya uhamisho wa euro milioni €10.5
Mshambuliaji huyo wa kimataifa raia wa Chile ameanguka saini mkataba wa miaka mitano na Juventus baada ya kufanikiwa vipimo vya afya ijumaa .
Ada ya uhamisho italipwa kwa makundi euro €5 zitakwenda katika klabu yake ya zamani ya Bayer Leverkusen haraka huku euro milioni €3 nyingine zikitaraji kutolewa June 30 mwakani na kiasi kilichobaki kitakuwa ni mchango wa akaunti ya banki ya vilabu nchini ujerumani na itawasilishwa huko December 31 2012.
Juventus imetangaza kuwa ada ya uhamisho wa mchezaji huyo inaweza kupanda kwa euro milioni €2 .

No comments:

Post a Comment