Barcelona yathibitisha kumuuza Bojan Krkic kuelekea Roma Barcelona imetangaza kupitia mtandao wa klabu hiyo kuwa wamefikia makubaliano makubaliano na klabu ya Roma juu ya uhamisho wa mshambuliaji wake Bojan Krkic kwa ada ya uhamisho ya euro milioni €12.
Bojan amekuwa katika wakati mgumu kujiimarisha katika kikosi cha kwanza cha kocha Pep Guardiola ndani ya klabu ya Barcelona kufuatia kuwepo kwa ushindani wa kugombea nafasi toka kwa wakali wengine kama David Villa, Pedro na Lionel Messi.
Huko nyuma amekuwa katika kuhusishwa na kutaka kujiunga ama Villarreal au Udinese lakini sasa imekuwa wazi kuwa anaelekea katika kikosi cha kocha Luis Enrique wa AS Roma.

No comments:
Post a Comment