KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, July 22, 2011

Barcelona yamtangaza Alex Sanchez wa Udinese kujinga nao Barcelona imetangaza rasmi kumsajili Alexis Sanchez toka katika klabu ya Udinese kwa uhamisho wenye thamani ya pauni milioni €37.5.
Alexis Sanchez raia wa Chile anatajwa kuwa ni mwenye thamani kubwa kulinganisha na Neymar wa Brazil Itakumbukwa mchezaji huyo alipewa ruhusa ya kuondoka katika kambi ya timu ya taifa ya Chile iliyokuwa katika maandali ya michuano ya Copa America katika kushughulikia uhamisho wake mwezi uliopita lakini hata hivyo vilabu huvyo viwili havikuweza kufikia muafaka kiasi uhamisho huo kusimama mpaka kikosi cha Andean


kilipo maliza kampeni yake ya kuwania taji la bara la Amerika ya kusini.
Catalan inamatumaini kujadiliana na mchezaji huyo juu ya mafao yake lakini wakati huohuo uhamisho wa Bojan Krkic na Jeffren Suarez ukionekana kukwama.

No comments:

Post a Comment