Kiungo mzaliwa wa Catalan amekuwa katika mchakato wa “swap” kuondoka London ya kaskazini na kuzamia Catalunya baada ya kocha wake mtarajiwa Pep Guardiola kuweka wazi kuwa klabu yake ipo bado katika mazungumzo na upande w a pili kunasa saini ya “La Masia graduate”
Swali ni je nini nafasi yake ndani ya klabu hiyo?.
Weka maoni yako na tutatoa majibu yenu kupitia kipindi cha michezo na burudani cha uhuru fm jumamosi karibu
Swali ni je nini nafasi yake ndani ya klabu hiyo?.
Weka maoni yako na tutatoa majibu yenu kupitia kipindi cha michezo na burudani cha uhuru fm jumamosi karibu
No comments:
Post a Comment