KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, July 20, 2011



Wakala wa mchezaji Alberto Aquilani amegoma kuondoa suala la uhamisho wa kiungo wa Liverpool ambaye amekuwa katika mpango wa kuelekea katika klabu ya Fiorentina.
Fiorentina klabu toka nchini Italia imekuwa katika mpango wa kumchukua kiungo huyo mwenye umri wa miaka 27 baada ya kocha wa klabu hiyo Sinisa Mihajlovic akizungumza na waandishi wa habari kusema
"namtaka mtu kama Aquilani".
Aquilani pia amekuwa akihusishwa na kutaka kujiunga na mabingwa wa Italia AC Milan.mwaka jana mchezaji huyo wa kimataifa wa Italia alikuwepo kwa mkopo katika klabu ya Juventus baada ya kushindwa kudumu Anfield,lakini kibibi kizee cha Turin wamekuwa w akimtaka kwa mpango wa mkataba wa kudumu.

No comments:

Post a Comment