Wednesday, November 9, 2011
Ivory Coast vs Tanzania National soccer team
hebu kumbuka mchezo huu ambao watanzania wengi waliipenda timu yao ya taifa ya mpira wa miguu jinsi walivyo ujaza uwanja mkubwa wenye uwezo wa kuchukua watazamaji zaidi ya elfu 65,000 lakini sasa hali ni tofauti. sababu kubwa ambayo imekuwa ikitajwa ni shirikisho la soka la TFF kushindwa kutengeneza miundo mbinu ya kuimarisha soka ya Tanzania na badala yake kinacho tazamwa ni maslahi ya viongozi wa mpira huo wa miguu nini cha kufanya kurejesha heshima ya Tanzania katika soka pamoja na kuimarisha mpira katika ngazi zote kuanzia vijana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment