Tanzania vs. Brazil Video Highlights 07th Jun 10 - World cup warm up
hii ni moja katika michezo ya soka ya kukumbukwa sana na watanzania katika historia ya soka la Tanzania mchezo kati ya timu ya taifa ya Tanzania dhidi ya Brazil iliyokamilika. Hii ni katika harakati za kuimarisha soka la Tanzania ambalo limedumaa kwa miaka yote. Nini kifanyike toa maoni yako.
No comments:
Post a Comment