Njia za chini kwa chini zinatarajiwa kuwa katika hali mbaya katika siku ya Boxing Day,baada ya jaribio la kupinga makato hayo kushindikana katika mahakama kuu ya nchi hiyo.
Taarifa ya klabu hiyi inasomeka
"jambo linalotokeza hapa ni kuwaheshimu wale mashabiki ambao watataka kuhudhuria Boxing Day."
Wao Chelsea wamethibitisha mchezo wao wa siku ya Boxing dhidi ya Fulham utaendelea kuwepo.
Takribani watu 2,200 wamekubali kuingia katika mgomo huo siku Boxing January 16 , February 3 na 13.
No comments:
Post a Comment