KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, December 22, 2011

Henri Michel ameachana na kazi kuifundisha Equatorial Guinea kwa mara ya pili

Kocha wa Equatorial Guinea Henri Michel Michel amesusa kuifundisha timu ya taifa hilo zikiwa zimesalia wiki mbili kabla michuano ya mataifa ya Afrika kuanza.

Anasema ameamua kufanya hivyo ikiwa ni kuonyesha kuingiliwa na sehemu ya tatu ingawa hakuwa tayari kutaja ni mtu gani wa tatu ambaye anamuingilia katika majukumu yake.

Hii ni mara ya pili kwa kocha huyo mfaransa kuachana na kazi hiyo kutokana na kuingiliwa katika majukumu yake katika timu.

Aliongoka kwa muda mwezi October,kabla ya kurejea tena baadaye baada ya aliyekuwa waziri wa michezo wan chi hiyo kufukuzwa kazi ya uwaziri.



No comments:

Post a Comment