KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, July 14, 2012

Kocha Cameroon kumvua unahodha Eto'o


Kocha wa timu ya taifa ya Cameroon Denis Lavagne anataka kumvua unahodha Samuel Eto'o baada ya kumaliza adhabu yake mwezi wa August.
Katika barua yake kwenda katika shirikishom la kandanda la Cameroon imesema mabadiliko yatafanywa mapema mwezi September.
"nimeomba kufanya mabadiliko katika cheo cha nahodha na makamu wake amesema.
"sfafu wangu na mimi tumeona ni mubhimu kuweka wazi juu ya issue hiyo kabla ya kufuzu mataifa ya Afrika na kombe la dunia."

No comments:

Post a Comment