KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, July 21, 2012

KAGAME CUP ROBO FAINALI NI KAMA HIVI.

Felix Sunzu wa Simba kulia akimuhadaa mlinzi wa Vita Club

Mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi katika kundi A umemalizika kwa mabingwa Tanzania Bara Simba dhidi ya Vita Club kwenda sare ya bao 1-1 mchezo ulifanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Vita ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao katika kipindi cha kwanza kunako dakika ya 35 kwa njia ya penati lililofungwa na Tadi Etikiama na Simba walisawazisha kupitia kwa Haruna Moshi kunako dakika ya 67 baada ya kuunganisha krosi safi ya Musa Mudde toka kusini mashariki mwa uwanja.
Baada ya mchezo wa hatua ya makundi kundi A kumalizika katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam
Michezo ya nusu fainali itakuwa ni kama ifuatavyo
July 23/07/2012
URA vs APR
Yanga vs Mafunzo
July 24/07/2012

Vita Club vs Atletico

 Simba vs Azam

No comments:

Post a Comment