MAANDALIZI KWA AJILI YA SHINDANO LA KUMSAKA REDS MISS TEMEKE YAMESHIKA KASI AMBAPO WAREMBO 14 WANATARAJIWA KUSHIRIKI SHINDANO HILO.
WAREMBO HAO NI PAMOJA NA CATHERINE MASUMBIGANA, ELIZABERT PETER, ELIZABERT BONFACE, ESTHER ALBERT, FLAVIAN MAEDA, FLORA KAZUNGU, HADIJA KOMBO , JESCA HAULE, LILIAN JOSEPH, MARIAM NTAKISIVYA, NEEMA DOREEN, ZULFA BUNDALA NA ANGELA GASPER.
\ROCKERSPORTS IMEKUWA IKIFUATILIA KWA KARIBU MAANDALIZI YAKE KAMA ILIVYOSHUHUDIA USIKU HUU.
No comments:
Post a Comment