| Katongo anashangaa wachezaji wenzake wakifanya vitu vyao. |
JUMA KASEJA NAHODHA WA KILI TAIFA STARS AKIWATAMBULISHA WACHEZAJI WA STARS
| Simon Msuva kiboko ya sebene. |
| Mrisho Ngasa naye nouma mule mule. |
| Kim Poulsena anashangaa vijana wake wakifanya mambo akiwa na Dr Mkemwa daktari wa timu. |
| Madada wa kundo la Scopion walifunika kwa burudani, hapa ni baada ya show yao. |
| Huyu naye kapagawa na Athumani Chuji ngoma mpaka dirishani Chuji Chuji Chuji kazi kwelikweli. |
| Isha Mashauzi back the stage. |
No comments:
Post a Comment