 |
Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Juma Kaseja akisisitiza watanzania kujitokeza uwanja wa Taifa kuipa nguvu timu ya taifa katika mchezo wao dhidi ya timu ya taifa ya Zambia maarufu kama Chipolopolo. |
 |
Christopher Katongo nahodha wa timu ya Taifa ya Zambia akieleza mikakati ya ushindi hapo kesho dhidi ya timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars mchezo utakaopigwa kesho katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam. |
 |
Kocha wa kikosi wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa stars Kim Poulsen alikielezea namna atakavyotumia nafasi ya kesho ya kucheza na timu bora ya Afrika Zambi hapo kesho, ambapo ameeleza kuwa anamatumaini ya kushinda katika mchezo huo licha ya kuwakosa wachezaji wake wawili muhimu Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu. |
 |
Cristopher Katongo katongo akielezea jinsi wanavyo uanagalia mchezo wa kesho dhidi ya Stars, anasema hawawadharau Stars kwa kuwa walicheza nao miaka 4 ilikuwa na kwamba wanauchukuliwa mchezo huo kwa uzito mkubwa pembeni yake ni kocha msaidizi wa Chipolopolo Patrice Beaumelle. |
BOFYA KUMSIKILIZA KOCHA MSAIDIZI WA ZAMBIA(CHIPOLOPOLO)PATRICE BEAUMELLE
BOFYA HAPA KUMSIKILIZA KOCHA WA STARS KIM POULSEN
No comments:
Post a Comment