KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, December 26, 2012

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ASHUHUDIA FAINALI YA KOMBE LA UJIRANI MWEMA MBUGANI SERENGETI AKIWA KATIKA MAPUMZIKO YA SIKUKUU YA CRISTMASS JANA.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi nahodha wa timu ya hoteli Seronera Jamali Kitonga kikombe cha ujirani mwema baada ya timu hiyo kuilaza timu ya Four season Safari Lodge mabao 5-4 katika uwanja wa Kifaru katika hifadhi ya Serengeti mkoani Mara na kuchukua taji hilo. Ndani ya dakika 90 timu hizo zilikwenda sare ya bao 1-1 na kulazimika kupigiana mikwaju ya penati ambapo Seronera ilipata penati 4 na Four season Safari Lodge ilipata 3. Picha na Ikulu.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Serena Serengeti Lodge kabla ya mchezo wa fainali ya michuano ya Ujirani mwema ambapo walishinda kwa penati baada ya kwenda sare ya bao 1-1 mchezo ambao uliangaliwa na mheshimiwa Rais.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu Four Season Safari Lodge ambao walifungwa na Serena Serengeti Lodge katika mchezo wa fainali ya kombe la Ujirani mwema.

No comments:

Post a Comment