KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, January 5, 2013

Ferguson anadhani Rio ataendelea kusalia United baada ya msimu.


Sir Alex Ferguson anaamini Rio Ferdinand anaweza kucheza katika kiwango cha juu na ana imani kuwa mlinzi huyo atasaini makataba wa nyongeza na Manchester United.

Ferdinand mwenye umri wa miaka 34, anatazamiwa kuwa huru mwishoni mwa msimu ambapo anaweza kufungua mazungumzo na klabu nyingine katika kipindi cha uhamisho wa majira ya kiangazi.

Kulikuwepo na taarifa kuwa mchezaji huyo wa zamani wa kimataifa wa England alikuwa anataka kwenda kujaribu nafasi yake nje, lakini Ferguson anasema hana wasiwi na hali ya mambo inavyokwenda kwamba atasalia

No comments:

Post a Comment