KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, January 30, 2013

KWAHERI MARIO BALOTELLI(WHY ALWAYS YOU) WASALIMIE MILAN. RASMI AJIUNGA NA MILAN KWA ADA YA UHAMISHO YA PAUNI MILIONI 20..

 Bust-up: Balotelli was involved in a furious shoving match with Roberto Mancini at training earlier this month
Pengine neno zuri la kumwambia Mario Balotelli ni kila la kheri na unaweza pia kumpongeza kutokana na mengi yaliyomkuta Manchester City lakini anapaswa kushukuriwa kwa kutuachia kumbukumbu nzuri isiyosahaulika katika kipindi chote cha utumishi wake ndani ya viunga vya City of Manchester au Etihad stadium.
 Baada ya kuitumikia kwa kipindi cha miaka mitatu Manchester City hatimaye Mario Balotelli amerejea Italia katika klabu yake ya zamani ya AC Milan kwa mapango wa uhamisho wenye thamani ya pauni £20.
Changing faces: Mario Balotelli has always courted controversy, or a few laughs at Manchester City
Sura mbalimbali za Balotelli ambaye ametokezea katika matukio mengi yaliyoibua gumzo na mara chache kicheko ndani ya  Manchester City
Changing faces: Mario Balotelli has always courted controversy, or a few laughs at Manchester City
Changing faces: Mario Balotelli has always courted controversy, or a few laughs at Manchester City

Kueleka katika mchezo wa upinzani mkubwa katika soka la nchini ItaliaThe Milan derby anatazamiwa kuwepo kikosini katika timu yake hiyo dhidi ya Inter Milan mchezo ambao utapigwa jumapili ya 4 February.
 
Akiwa nchini England amekuwa akifanishwa na watukutu kadhaa wa miaka ya nyuma ambao wameweka historia mbalimbali katika soka la nchi hiyo kama vile George Best, Eric Cantona, Paul Gascoigne na Paolo di Canio ambao wote walikuwa wakitengeneza vichwa vya habari kila kukicha.

Now you see him, now you don't: Balotelli shows off his camouflaged Bentley and quad bikeTukirudi ndani ya miaka yake mitatu ya soka ndani ya Manchester City, Balotelli amekuwa na mambo kadhaa ya yenye sura tofauti katika ligi kuu nchini England ikiwa ni pamoja na kipaji, kufunga magoli au kuwa msaada wa kupatikana magoli lakini usisahau matukio ya ghasia na ugmvi katika uwanja wa mazoezi upuuzi kadi nyekundu na hata kuvunja sheria nje ya uwanja.
 Tukio la kurusha fataki akiwa bafuni katika nyumba aliyokuwa akiishi lilikuwa gumzo pia ndani ya kipindi cha miaka hiyo mitatu jijini Manchester ambalo hakika lilikuwa gumzo.

Mapema mwezi huu Balotelli alihusika katika tukio hasira na ghasia baina yake na meneja Roberto Mancini katika uwanja wa mazoezi.

Pia katika mchezo wa ushindi wa mabao 6-1 waliyopata City dhidi ya Manchester United mchezo wa ligi kuu ya England jambo ambalo liliibua gumzo kwa kijana huyu mwenye umri wa miaka 20 lilikuwa ni aina ya ushangiliaji wake ambao uliwavutia wengi wa 'look at me' na baadaye kuibuka na style nyingine ya kuonyesha fulana yake ya ndani ya jezi iliyokuwa na maandishi yanayosomeka Why always me, huyo ndio Mario Balotelli aliyekuwepo Manchester City.
Infamy, infamy... why have they all got it infamy? Baloteli celebrates scoring his first goal at Old Trafford in October 2011
Balotelli akishangilia baada ya kufunga goli la kwanza katika dimba la Old Trafford October 2011
Balotelli smoking a cigarette
Balotelli
Balotelli was involved in a car crash in Manchester just weeks after signing for City in August 2010
Balotelli pia alihusika katika matukio ya ajali katika jiji la Manchester ikiwa ni wiki chache baada ya kusaini City mwezi  August 2010 kama gari yake ilivyoonekana katika picha hapo juu.

No comments:

Post a Comment