KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, January 8, 2013

MPINDUZI CUP: COAST NA MTIBWA BYE BYE, NUSU FAINALI NI AZAM NA SIMBA ALHAMISI. JUMATANO NI MIEMBENI NA TUSKER FC.

Michezo ya michuano ya kombe la mapinduzi imeendelea tena ambapo usiku huu Azam FC imekwenda sare ya 0-0 na Mtibwa Sugar.
 
Matokeo hayo yameifanya mabingwa watetezi wa taji hilo Azam FC kutinga nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi ambapo itacheza dhidi ya Simba SC siku ya Alhamis.
Kwa upandea Coastal Union na Mtibwa Sugar zenyewe zimeyaaga mashindano hayo.
 
Coast imeaga mashindano baada ya kwenda sare ya bila kufungana na Miembeni mchezo uliofanyika katika uwanja wa Mao dze Tung.
 
Wao Mtibwa kutokana na matokeo ya sare ya bila mabao na Azam fc sasa imeaga michuano hiyo ambapo nusu fainali nyingine sasa itawakunanisha Miembeni dhidi ya Tusker fc ya kenya Jumatano uwanja wa Amani.

No comments:

Post a Comment