KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, March 30, 2013

RASHIDI MATUMLA MGENI RASMI MAPAMBANO YA NGUMI ZA VIJANA.

Bondia mkongwe wa ngumi za kulipwa nchini Rashidi Matumla anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mapambano ya vijana ya mchezo huo yatakayofanyika katika ukumbi wa Gadafi Jijini Dar es Salaam.
  Katika mapambano hayo pambano kubwa litakuwa ni baina ya Ramadhani Kumbele dhidi ya Selemani Shabani ambalo litachezwa kwa raundi.
Akiongea jijini Dar es Salaam leo Rais wa Chama cha ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassin Abdallah Mwaipaya amesema kuwa kila kitu kipo sawa sawa hususani suala zima la ulinzi.
BOFYA CHINI KUMSIKILIZA YASINI. 

No comments:

Post a Comment