KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, March 10, 2013

SIMBA YAJIKONGOJA TARATIBU YAIKAMUA COAST UNION 2-1

Mshambuliaji Mrisho Ngasa wa Simba na  Beki Abdi Banda wa Coatal wakigombea mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union uliochezwa uwanja wa Taifa jana, Simba ilishinda mabao 2-1. Picha na Rahel Pallangyo.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la kwanza lililofungwa na Mrisho Ngassa wakati wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union uliochezwa uwanja wa Taifa jana, Simba ilishinda mabao 2-1.
Mshambuliaji wa Simba Haruna Changongo akipiga pasi huku beki wa Coastal Union Mbwana Hamis wa Coastal Union wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union uliochezwa uwanja wa Taifa jana, Simba ilishinda mabao 2-1.
Beki wa Simba Nassor Masoud akimruka golikipa wa Coastal Union Shaban Kado  wakati wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union uliochezwa uwanja wa Taifa jana, Simba ilishinda mabao 2-1
Beki wa Coastal Union Abdi Banda ( wa kwanza kulia) akiondoa mpira kwenye himaya ya kiungo mshambuliaji wa Simba Amri Kiemba (wa pili kulia)  wakati wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union uliochezwa uwanja wa Taifa jana, Simba ilishinda mabao 2-1.
Beki wa Simba Nassor Masoud akimiliki mpira huku wa golikipa Coastal Union Shaban  Kado akimwangalia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union uliochezwa uwanja wa Taifa jana, Simba ilishinda mabao 2-1. Picha na Rahel Pallangyo.

No comments:

Post a Comment