Katibu wa Chama cha Netboli (CHANETA) Rose Mkisi |
Baraza
la michezo Taifa BMT limetangaza kupiga kalenda uchaguzi wa CHANETA
badala ya kufanyika machi 23 sasa utafanyika April 20 mwaka huu mkoani
Dodoma kutoka na ukata wa fedha.
Taarifa
ya katibu mkuu wa BMT HENRY RIHAYA imesema kutokana ukosefu huo wa
fedha na BMT inajipanga hadi kuhakikisha ifikapo April 20 uchaguzi
utafanyika na zoezi la usaili litafanyika April 18 ambapo mapingamizi April
19 mwaka huu mkoani DODOMA.
No comments:
Post a Comment