Frank Lampard akibebwa juu na Petr
Cech huku akiwapungia mashabiki baada ya mchezo dhidi ya Aston Villa
baada ya kufunga mabao mawili yaliyo mpa rekodi ya ufungaji ya Chelsea. Baada ya Frank Lampard kufunga jumla ya mabao 203 akiwa na Chelsea na kuwa mfungaji bora wa wakati wote wa klabu hiyo kwa kuipita rekodi ya Bobby Tambling aliyefunga jumla ya mabao 47 sasa ni wakati wa Chelsea kumuenzi Tambling kwa kutunza rekodi hiyo kwa muda mrefu na kuipa mafanikio. |
Frank Lampard aliweka ukurasa mpya kwa kufunga magoli mawili katika mchezo wa ligi kuu ya England katika mchezo wa jumamosi iliyopita dhidi ya Aston Villa.
Licha ya kwamba jina lake halikuwa kubwa katika soka lakini bado mashabiki wa Chelsea hawakuweza kumsahau Tambling, na aliwahi kupigiwa kura katika listi ya wachezaji 11 bora wa kikosi cha kwanza cha kihistoria cha klabu hiyo katika sherehe za mwaka 2005.
Pichani juu Lampard akiongea na Tambling kwa simu baada ya mchezo na picha ya pembeni wakiwa katika picha ya pamoja na Kerry Dixon mwezi uliopita.
Tambling ambaye alifunga mabao 202 kati ya mwaka 1959 na 1970, alishikilia rekodi hiyo kwa miaka 47.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Chelsea hakuwa katika hali nzuri kiafya katika siku za hivi karibuni na alilazwa hospitali kwa miezi mitatu mwaka huu.
Tambling (katikati) akipiga shuti katika mchezo dhidi ya Leicester City
Mapema mwaka huu , Tambling alimpongeza kiungo huyo wa England na kumpa pole kwa kukosa taji la ligi ambapo amekuwa akimwita Lampard, kuwa ni mchezaji mkubwa na bora kuwahi kutokea ndani ya Chelsea.
'Frank mara zote amekuwa akinijulia hali na kunitakia kila la kheri nipone haraka.
Huwa ananiambia nisiwe na wasiwasi na kwamba nitapona.
Ni mtu mstarabu.
Tambling (kulia) akiambaa na mpira na kumpita Ron Flowers wa Wolverhampton Wanderers.
Tambling (katikati) akifunga goli huku mpira ukimpita mlinda mlango wa Arsenal Jack Kelsey.
Tambling akijaribun kufunga kutoka katika kona ngumu katika mchezo dhidi ya Burnley mwaka 1969.
Tambling alipewa tuzo ya heshima na kutambua mchango wake ndani ya Chelsea kwa mwaka wa jana tuzo ambayo alikabidhiwa na Lampard.
Wachezaji wa Chelsea mwaka 1960, Tambling wa mwisho kushoto waliokaa.
Golden years: Tambling hits home past Arsenal's Jim Furnell
The blossoming partnership
spearheaded Chelsea’s attack, and with Docherty introducing fellow
youngsters like Terry Venables and Peter Bonetti, the Blues returned to
the top flight at the first time of asking, and finished 5th in their
first season back.
Tambling
was Chelsea’s top scorer in both seasons, and scored the opening goal in
the club’s two-legged League Cup Final win over Leicester City in 1965.
That
was the only major trophy of Tambling’s career, as Chelsea’s only other
final in his spell at the club – the first all-London FA Cup final in
1967 against Tottenham – was lost 2-1, despite Tambling getting
Chelsea’s late goal.
Injuries
and the emergence of Osgood meant more sporadic appearances for
Tambling in his final seasons with the club, and he departed for Crystal
Palace in January 1970.
Tambling ndani ya uwanja wa Stamford Bridge akishangiliwa mwezi uliopita akiwa katika baiskeli.
No comments:
Post a Comment