Hard work, this rehab lark: Smalling's making sure he keeps his feet up after a long season
Hard work, this rehab lark: Smalling's making sure he keeps his feet up after a long season.

Mlinzi wa kati wa Manchester United Chris Smalling amekuwa akiendelea kuponya kidonda chake cha baaba ya upasuaji wa mguu wa mguu wake wa kulia akiwa katika pwani ya Barbados fakipunga upepo wa pwani wenye joto akiwa na mpenzzi wake Sam Cooke.

Akiwa ameongozana na mpenzi wake huyo katika mapumziko ya kumaliza wiki amekuwa akijitahidi kufanya mazoezi madogo madogo kulinda uzito wake na kuimarisha mguu huo.

Mlinzi huyo anatarajiwa kuwa sawa katika kipindi cha matayarisho ya kuanza msimu mpya.
Meneja mpya wa Manchester United David Moyes atakuwa na kazi ya kujenga timu mpya itakayokuwa na vipaji vichanga kama ilivyo kwa wachezaji kama Smalling, Phil Jones na Tom Cleverley. 
Helping hand: Chris Smalling's girlfriend Sam Cooke helps him keep his weight off of his injury
Helping hand: Chris Smalling's girlfriend Sam Cooke helps him keep his weight off of his injury

Smalling mwenye umri wa miaka 23, pia atakosekana katika kikosi cha timu ya taifa ya England kitakachokuwa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Jamhuri ya Ireland lakini pia katika safari ya kuelekea nchini Brazil kufuatia kuaendelea kuuguza mguu wake.

Bosi wa England Roy Hodgoson amekaririwa kisema 
‘Sasa ndio fursa kwakuwa Smalling na Jones kama ilivyo kwa wastaafu Rio Ferdinand na John Terry waliostaafu soka la kimataifa.
'Wamepata nafasi, jambo ambalo ni muhimu. Rio na John wamefanya kazi nzuri sana kwa kipindi chote. Sasa wameondoka ni jukumu kwa vijana hawa kutazama mbele.

Enjoying the view: Chris Smalling watched on his girlfriend Sam Cooke walked away fro supplies on holiday in Barbados on Sunday
Chris Smalling akimtazama kwa nyuma mpenzi wake Sam Cooke akitembea kutafuta viburudisho katika pwani ya  Barbados Jumapili ya jana.

Step two: Get those crutches prepared
Step three: On your feet, big man
Water therapy: But it remains unconfirmed if the sea at Barbados can quicken Smalling's recovery
Hands and knees: Is he contemplating a return to the sun lounger?
A great team: Smalling and his girlfriend Sam in the sea
Smalling na mpenzi wake Sam wakiwa majini.
Walking tall: And Smalling's got his foot wrapped up
Taking no risks: But the big defender appears to be enjoying himself
Thinking ahead? Smalling is a defender with lots of potential
The high life: Martin Skrtel and wife Barbora take it easy on Miami beach
The high life: Martin Skrtel and wife Barbora take it easy on Miami beach
Going for a stroll: Mind that foot though, Martin
Going for a stroll: Mind that foot though, Martin