KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, May 16, 2013

Fergie aonyesha mapenzi yake kwa mkongwe mstaafu mtarajiwa Carragher wakati Liverpool ikithibitisha kustaa kwa mlinzi huyo atakayepewa heshima Anfield Jumapili.

Liverpool's Jamie Carragher
Manchester United manager Sir Alex Ferguson

Sir Alex Ferguson ameipongeza Liverpool kwa kuandaa mchezo wa jumapili kuwa ni mchezo wa mwisho rasmi kwa mlinzi mkongwe Jamie Carragher ambapo atapewa heshima zote za kuelekea kustaafu kwake na ambao utakuwa mchezo wake wa mwisho.

Mlinzi huyo ataachana rasmi na soka baada ya miaka 16 ya utumishi wake akiwa ni roho ya ulinzi ya Liverpool.
 
Carragher, ambaye ni mchezaji wa pili katika orodha ya wachezaji wa Liverpool walioitumikia michezo mingi na sasa anafuata nyayo za meneja huyo mkongwe aliyethibitisha kuacha kukalia benchi la ufundi la Manchester United.
 
Ferguson walikuwa na kikwazo cha sehemu ya ulinzi cha Liverpool ambapo mlinzi huyo wa zamani wa England amekuwa sehemu ya ulinzi katika jumla ya makutano 33 ya klabu hizo mbili katika kipindi cha miongo miwili iliyopita.

Akiongea katika sehemu ya makala yake ya miaka 35 ya utumishi wake kama kocha Ferguson amesema 
‘Ni mchezaji niliye mpenda sana. Alikuwa ni mchezaji anajitoa ambaye Liverpool walibahatika kuwa naye kwa miongo miwili.

‘Alikuwa na ubora kwa miaka nenda miaka rudi. Nilimpenda. Ni mfano kwa vijana ambao wanataka kucheza soka, alikuwa kweli mcheza soka mweledi.
End of an era: Carragher will play his final game for Liverpool against QPR on Sunday
Carragher atacheza mchezo wake wa mwisho wa Liverpool dhidi ya QPR Jumapili. 

Wakati huo huo imetangazwa kuwa Liverpool na QPR watampa Carragher heshima ya kipekee atakapo chomoza katika mchezo huo wa mwisho.
 A mosaic on the Kop will also pay tribute.

No comments:

Post a Comment