Shirikisho la
soka duniani FIFA limeipa onyo klabu ya Sao Paulo kuwa hakutakuwa na muda wa
nyongeza baada ya December 2013 kwa ajili ya kuukabidhi uwanja ambao utatumika
kwa ajili ya fainali kombe la dunia.
FIFA imesema
kuwa itapanga mkutano na Corinthians kuelezea msimamo wao huo juu ya uwanja wa
fainali ya kombe la dunia mjini Sao Paulo.
Corinthians Arena uko
katika matengenezo kuelekea fainali ya kombe la duni lakini katibu mkuu wa FIFA
Jerome Valcke ameonya mapema wiki hii kuwa zoezi la kupanga ratiba ya michuano
ya kombe la dunia itafanyika katika uwanja huo wa Sao Paulo na huenda zoezi
hilo likahamishiwa mji mwingine kama FIFA haitaridhishwa na uwanja huo itakapofika
December 2013.
Katika ziara
yake ya kutembelea uwanja wa Mane Garrincha mjini Brasilia, Valcke amesema kuwa
suala la kuchelewa halitakubalikwa na kwamba inachukua kujaribu kila kitu na
kwamba kombe la dunia ni tukio kubwa.
Corinthians imejibu
kwenye taarifa yao wakisema klabu hiyo haiku tayari kusukumwa na FIFA na
ieleweke kuwa fifa huenda wanafikira kuuhama uwanja huo wakati wa michezo hiyo.
Malaga: Hakuna
makubaliano yaliyofikiwa na Manchester City juu ya Pellegrini.
Malaga wamekanusha
taarifa kuwa imekubaliana na Manchester City juu ya lini Manuel Pellegrini aondoke
katika klabu hiyo kama ilivyotajwa huko nyuma kuma kuwa huenda akaondoka July mosi.
Iliripotiwa
kwa ukubwa kwamba bosi huyo wa zamani wa Real Madrid amekuwa kinara wa mabisi
wanaopewa nafasi ya kuchukua nafasi ya Roberto Mancini baada ya mtaliano huyo
kutupiwa virago vyake Jumatatu.
Redio moja
nchini Hispania Cadena Cope imedai
kuwa raia huyo wa Chile tayari amekaa na waajiri wake wa sasa jana Jumanne
usiku na amekubaliana juu ya mpango wake wa kuondoka makubaliano ambayo
yangetengua zuio la mkataba ambapo amebakisha miaka miwili ndani ya mkataba
wake bila ya fidia yoyote ya euro milioni 4.
Cameroon FA yakataa kikosi teule cha
kocha Jean-Paul Akono.
Kocha
anaendelea katika timu ya taifa ya Cameroon Jean-Paul Akono amesambaza kikosi
cha wachezaji wa timu ya taifa ya nchi hiyo ambacho kimeelezewa kuwa
hakitambuliki kiofisi na kueleka katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki nay a kufuzu
fainali ya kombe la dunia.
Wakati Akono
akisisitiza kuwa ana haki ya kutengeneza kikosi hicho upande wa shirikisho Fecafoot
umesema hajaruhusiwa.
Hali hiyo
inazi kutia utambi chuki baina ya kocha huyo wa muda na Fecafoot, ambao
walitangaza nafasi za kazi kwa kocha mpya bila ya kumshirikisha.
Cameroon
inajiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Ukraine June 2 and na michezo mingine
ya kuwania kufuzu kombe la dunia kutoka kundi I dhidi ya Togo June 9 na mchezo
mwingine dhidi ya Democratic Republic of Congo June 16.
One player
who will be hoping that is not the case is Fulham midfielder Enoh Eyong, who
has been picked by Akono and would be involved for the first time since last
September.
The
27-year-old served a two-match international ban for his part in the Cameroon
players' strike over unpaid bonuses and was also sidelined by a knee injury.
Paul Alo'o
Efoulou is another player who may make his comeback, while Osasuna defender
Raoul Loe and Antalyaspor goalkeeper Sammy Ndjock may be in line for their
first inclusion in the squad.
Akono has
also called up eight local players in his list.
No comments:
Post a Comment