KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, May 9, 2013

FURGUSON NA UNITED WAMTHIBITISHA DAVID MOYES KUCHUKUA NAFASI YAKE. AAGA RASMI EVERTON

United front: Moyes was in London yesterday to speak with Everton owner Bill Kenwright
Moyes alipokuwa jijini London jana kuzungumza na mmiliki wa Everton Bill Kenwright.

 Manchester United imethibitisha kuwa David Moyes atakuwa meneja mpya wa klabu hiyo baada ya kuondoka katika nafasi hiyo kwa Sir Alex Ferguson baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa michezo 27 ndani ya viunga vya Old Trafford.

Moyes, ambaye amekubali kuingia mkataba wa miaka sita wa kufanya kazi Old Trafford bado ataendelea kusalia katika klabu yake ya Everton mpaka mwisho wa msimu.
Amekaririwa akisema 
'Ni heshima kubwa kupewa kazi ya kuwa meneja mpya wa  Manchester United. 
'Nimefurahi kwamba Sir Alex kuona kuwa ananitaja mimi kwa kazi hiyo. Ninamheshimu kwa kila kitu alinicho kifanya kwa ajili ya klabu hiyo ya soka. 
Najua ni kwa jinsi gani kazi itakuwa ngumu kufuata nyazo za meneja bora kupindukia, lakini fursa ya kuiongoza Manchester United si kitu ambacho kinakuna muda wote na kwakweli nataza mbele kuchukua majukumu hayo msimu ujao.

TAARIFA YA EVERTON


'Everton ingependa kuthibitisha kuwa David Moyes ataondoka katika klabu hii mwishoni mwa msimu.
'Meneja huyo alikutana na mmiliki wa klabu Bill Kenwright mapema jana jioni May 8 na amethibitisha juu ya kuondoka kwake kuelekea Manchester United.

'Mwenyekiti kwa niaba ya klabu ingependa kumshukuru David kwa mchango wake mkubwa alioutoa Everton tangu alipowasili Machi 2002. Alikuwa ni meneja imara.

'Katika kipindi cha kazi yake Goodison Park, David alikuwa kiongozi wa timu katika matukio zaidi ya 500 ikiwa ni pamoja na kampeni za Ulaya.
'Michezo yake ya mwisho kama meneja wa Everton itakuwa ni ya kumalizia michezo ya ligi kuu (Premier League) dhidi ya West Ham United na Chelsea.
'Everton itaanza rasmi kutafuta mmdala wake haraka'

Kwa upande wake mwenyewe Moyes alikuwa na haya: 
 
'Nilikuwa na kazi ya kuogopesha katika klabu ya Everton, nikiwa na mwenyekiti mzuri pamoja na bodi ya wakurugenzi na wachezaji bora. Kati ya sasa na mpaka kumalizika kwa msimu nitafanya kila niwezalo kuhakikisha tunamaliza katika nafasi ya juu zaidi katika msimamo wa ligi.

'Mashabiki wa Everton wamefanya kazi yao kubwa katika kipindi cha miaka yangu ya uongozi hapa Goodison inayofurahisha na ninawashukuru kwa moyo wangu wote kwa ushirikiano wao walionipa mimi na wachezaji. 

'Everton itakuwa karibu yangu katika kipindi changu chote cha maisha yangu.'

Ferguson ambaye amekuwa kipenzi cha watu amesema kuwa aliaanza alimshawishi Moyes kuanzia mwaka 1998 kuona kama anaweza kuwa msaidizi wake katika klabu hiyo ya Manchester United.

Akimtangaza atakayechukua nafasi yake Furguson mwenye umri wa miaka 71 amekaririwa akisema :

 'Tulipokuwa tukimjadili mtu ambaye atafaa bila wasiwasi tulukubalina kwa dhati kuwa ni David Moyes. David ni mwadilifu mkubwa na nidhamu ya kazi ya hali ya juu. 

'Nimekuwa nikipenda kazi yake kwa muda mrefu na niliwahi kumshawishi mwaka 1998 awe meneja msadizi wangu.

'Alikuwa kijana mdogo wakati anaanza kazi hiyo na tangu wakati huo amekuwa akifanya kazi nzuri ndani ya klabu ya Everton. Hakuna maswali juu ya ubora wake tunamtegemea kuwa meneja wa klabu.'
Much to contemplate: But Moyes has always appeared a sensible man
But Moyes mara zote amekuwa akionekana kama mtu mwenye akili.
New era: Moyes is set to come under greater scrutiny than ever
Zama mpya na Moyes anatarajiwa kuwa mwenye mafanikio.
Departing: Moyes left Kenwright's offices, appearing positive, at the end of their meeting
Moyes akiondoka katika ofisi za Everton za Kenwright akiwa ni mwenye furaha baada ya mkutano wake na mmiliki wa Everton.
 
Mwasisi na mtu mwenye heshima ndani ya Old Trafford Sir Bobby Charlton ambaye alikuwa na mkono wake wakati wa mchakato wa uteuzi wa Moyes amefurahia kuwa Moyes ataongeza uwezo wakati wa kuanza kwa msimu ujao.

Ameongeza :
 'Siku zote nimekuwa nikisema tunataka meneja ajaye awe na anafanana na kariba ya Manchester United. Kwa David Moyes, tumepata mtu ambaye anaelewa hicho kitu kuwa klabu hii ni ya aina yake. 

'Tumempata mtu ambaye atajitoa kwa muda mrefu na kujenga hali ya baadaye ya timu na sasa. Stability breeds success.

'David ana haiba na anajua umuhimu wa kuleta wachezaji vijana na kuwaendeleza kufikia kiwango cha dunia. Ndani ya United, nadhani David atafanikwa kuonyesha kujionyesha mwenyewe.' 

Moyes anaondoka Everton baada ya miaka 11 na atakuwa katika kiti cha uongozi wa klabu pale United itakapo anza kutetea taji lake la Barclays Premier League ambalo limepelekwa Old Trafford na Ferguson mwaka huu. 


Mtendaji mkuu wa United David Gill amenukuliwa akisema:
 'Nimefurahi kwamba David amekubali kujiunga na Manchester United. amefanya kazi kubwa Everton na ana ubora tuliokuwa tunautafuta kwa meneja mrithi wa Alex.'
Much to contemplate: Moyes's profile is set to grow even further
Athletic? The Scot's certainly a better mover than Sir Alex Ferguson
Positive: And he has reason to be, although one job may be persuading Wayne Rooney (below) to stay at Old Trafford
Kazi kubwa ya Moyes ni kuhakikisha anamshawishi Wayne Rooney kusalia Old Trafford
Welcomed: Neville (right) told Geoff Shreeves he would like to see David Moyes at Old Trafford
Neville (kulia) alipokuwa akihojiwa na Geoff Shreeves alisema angependelea David Moyes kuelekea Old Trafford

Moving on: Moyes met with Kenwright yesterday and looks set to replace Fergie today
Moyes alikutana na Kenwright jana
Friends and foes: Moyes was approached by Ferguson as early as 1998
Friends and foes: Moyes was approached by Ferguson as early as 1998

No comments:

Post a Comment