We're in the money: Premier League champions Manchester United earned £60.8m from television |
Mabingwa soka nchini Manchester United imefanikiwa kuingiza kiasi cha pauni milioni £60 kupitia maonyesho ya moja kwa moja katika michezo ya ligi kwa njia ya luninga msimu uliomalizika na kuongoza katika katika orodha ya timu ambazo michezo yao ilionyeshwa zaidi kupitia Luninga kwa michezo 25(live match table).
Liverpool
na Arsenal zimefungana katika nafasi ya pili zikiwa zimeonyeshwa katika luninga kwa michezo 22 huku Manchester City na Spurs wakipata michezo 21 ya kuonyeshwa moja kwa moja.
Kwa mshangao ni kwamba Chelsea ilipata kuonyeshwa mara 16 licha ya kumaliza katika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi.
Second best: City were the closest challengers to United in the race for the title and in the TV pay scale
Lakini hata hivyo inaonekana kuwa ujio wa meneja mpya Jose Mourinho utawaongezea nafasi ya kuchaguliwa na Sky pamoja na BT Sport katika kampeni ya msimu wa 2013-14.
Kuingiwa kwa mkataba mpya wa TV mwezi August kutaingiza pesa zaidi ambapo vilabu kama Norwich,
Southampton, Stoke City, West Brom na Fulham, ambavyo vimeonekana kwa michezo chini ya 10 ya moja kwa moja vinategemea kuingiza kiasi cha pauni milioni £60.8 kiasi ambacho walichopata Manchester United kwa msimu uliokwisha.
Next
term's champions will be receiving around £100m from TV appearances,
merit payments that depend on where each club finishes in the league and
facility fees each time a club’s matches are on TV in the UK.
All international broadcast revenue is split equally amongst the 20 clubs.
QPR walioshuka daraja wamekuwa wa mwisho kupata malipo ya maonyesho ya moja kwa moja ya michezo yao kwa njia ya luninga.
No comments:
Post a Comment