

Beckham anastaafu mwaka huu baada ya kungara katika soka akiwa katika kiwango.
Kuna siri nyingi zilizo jificha juu ya mafanikio yaliyotukuka na yasiyokuwa ya kawaida yaliyo jificha ya Sir Alex
Ferguson akiwa na Manchester United na kwa kupitia makabrasha imeonekana kuwa ni pamoja na maandalizi ya mapema kuwa ni moja kati ya hayo.
Mapema huko nyuma katika miaka ya 1990 kikosi maarufu cha Ferguson ambacho kiliwajumuisha wakali kama David Beckham, Paul Scholes na Gary Neville, kiliulizwa kutoa maelezo juu ya kusakata kwao soka la kiwango cha juu yaani professional football na kuelezea japo kwa kiduchu wanachokumbuka enzi za soka lao la ujana.
Akiwa na umri wa miaka 17 mkongwe Beckham alidokeza juu ya fainali ya michuano ya vijana ya mwaka 1991 kuwa ni mchezo ambao alicheza vizuri kwa kuandika maeno haya
'My best game was the youth cup final in
1991 against Crystal Palace 1st leg when we won 3-1 and everythink
(sic) went right and I scored a good goal + set up 1 and the crowd was
really good and load (sic).'

Dokezo la David Beckham akiwa na umri wa miaka 17 mapema miaka ya 990s
Beckham hakufurahia mchezo wa pili licha ya kudai kuwa c**p and
the officials were also c**p.
Lakini Beckham hakuwa peke yake kutua macho juu ya kiwango chake.
Ryan
Giggs, pengine ameonyesha juu ya kile kilichopelekea kuwepo katika soka kwa kipindi kirefu ambapo hakuweka maneno ya kuonyesha mchezo aliocheza kwa uzuri.
Alichokifanya ni kudokeza juu ya kiwango kibovu alichocheza katika mchezo dhidi ya Oldham akisema kiwango hakikuwa kizuri. Ameandika
'I got marked out of the game and I must of
kicked the ball about twice.'

Ryan Giggs hakuweza kutaja mchezo aliocheza vizuri.

Giggs ameshinda mataji 13 ya Premier League na mawili ya Champions Leagues akiwa na United

Ryan Giggs akiwa na umri wa miaka 39 alicheza mchezo huo akitokea benchi mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya bao 5-5 na West Brom.
Gary
Neville pia ameonyesha kuwa alikuwa ni mchezaji wa aina gani alikuwa katika michezo aliyocheza vizuri licha ya kuangalia kiwango kilichoonyeshwa na timu.
Aliuelezea mchezo pili wa fainali wa michuano ya vijana dhidi ya Leeds kama mchezo aliocheza vibaya na kusema
'didn't feel in the game'.
Neville kwasasa anafanya kazi ya kutathmini soka katika luninga la Sky Sports pamoja na kufanya kazi ya ukocha akiwa na kikosi cha England pamoja na Roy Hodgson.
Aliuelezea mchezo pili wa fainali wa michuano ya vijana dhidi ya Leeds kama mchezo aliocheza vibaya na kusema
'didn't feel in the game'.
Neville kwasasa anafanya kazi ya kutathmini soka katika luninga la Sky Sports pamoja na kufanya kazi ya ukocha akiwa na kikosi cha England pamoja na Roy Hodgson.

Maneno ya dokezo kutoka kwa Gary Neville

Beckham na Neville wakishikilia kombe la ubingwa wa Premier League mwaka 1996

Paul Scholes hakutoa maneno mengi ya dokezo la soka lake.

Scholes
Paul Scholes aliandika
'I thought I played
well in the FA Cup semi-final second leg against Millwall in which we
needed to win 2-0 to progress to the final.'
'The worst game I played in was the second leg of the final
against Leeds Utd where we were beaten 2-1 and lost the cup.'
No comments:
Post a Comment