Bosi wa Wigan Roberto Martinez akitabasamu na shabiki wa klabu hiyo wakati wa safari ya kuelekea London.
Bosi wa Wigan Roberto Martinez amewaambia wachezaji wake wanapaswa kuwa na ndoto ya uwezekano wa kushinda taji la FA kesho katika fainali dhidi ya Manchester City uwanja wa Wembley.
|
Mazungumzo juu ya kuwa katika nafasi ya kushuka daraja kwasasa yanaonekana kupoteza maana.
Hapo akipewa maneno ya upako katika mji wa kaskazini - Magharibi.
Akiongea na wanahabari Martnez amesema
'Kitendo cha kufika katika hatua ya fainali ni jambo la kihistoria katika klabu hiyo, kushinda taji kutaipeleka klabu hiyo katika nafasi nyingine.
'Sote tuko sawa na tunatahadhari kubwa na hilo litamaanisha.
Kuna watu wengi sana wanautazama mchezo huu,
'Ni moja kati ya mambo ambayo yanatuongezea tahadhari.
Mashabiki wafurika katika stesheni ya Kaskazini Magharibi mwa Wigan kuwaaga Wigan.
Mshambuliaji Aurona Kone akikutana na mashabi wa mji wa Wigan kabla ya safari ya kuelekea London.
Paul Scharner akisalimia umati kabla ya mchezo wa kesho ambao Martinez anasema wanaweza kushinda.
Manchester City wanaopewa nafasi kubwa ya kushinda imeshinda michezo yote miwili ya ligi kuu Premier League msimu huu.
Wigan huenda ikashida kama haitarudia mchezo wa kujilinda kama ilivyokuwa katika mchezo dhidi ya Swansea katikati ya wiki.
Wigan watakuwa na mashabiki wao 21,000 katika uwanja wa Wembley dhidi ya Manchester City.
Maynor Figueroa, Jean
Beausejour, Ivan Ramis and Ronnie Stam ni wazi kwamba hawatakuwepo huku Antolin
Alcaraz anaonekana atakuwepo kikosini hiyo kesho.
Kinachoonekan ni kwamba Martinez atamtumia skipper Gary Caldwell,
ambaye hakuwa katika kiwango kizuri katika mchezo wa katikati ya wiki ama pia anaweza kumtumia Roman Golobart, ambaye hana uzoefu sambamba na Paul Scharner katika eneo la ulinzi.
Martinez amesema kuwa
'Tatizo la Ulinzi ni lazima tukubali kusaka suluhu yake,' .
No comments:
Post a Comment