Looking to the future: Sir Alex Ferguson will retire as manager of Manchester United at the end of the season. |
- Mkongwe anayejiuzulu baada ya michezo 1,500 akiwa meneja.
- Meneja mwenye mafanikio kuliko wote katika historia ya soka la England ambaye ataachana na kazi hiyo rasmi baada ya mchezo dhidi ya Brom game May 19
- Klabu yake imetangza meneja huyo mwenye umri wa miaka 71 kuwa baada ya kustaafu atakuwa mkurugenzi wa klabu hiyo.
- Mzaliwa huyo wa Glasgow atakuwa kifanya kazi za kibalozi za klabu.
- Zipo taarifa kuwa David Moyes kuwa atachukua nafasi yake kinachosubiriwa ni kutangazwa rasmi.
- Taarifa ya Ferguson imesomeka
- 'Ilikuwa muhimu kwangu kuondoka na kuacha muunganiko wenye nguvu zaidi na sura yenye nguvu na nina amini nimefanya kazi hiyo'
- Fergie akaongeza
- 'Nafasi inayo tazamwa na Bodi ya timu hasa Sir Bobby Charlton inanipa hali ya kujiamini na muda wa kujenga klabu ya soka kuliko timu'
- Alitangaza nia kujiuzulu kwa mara ya kwanza 2001 kabla ya kubadilisha mawazo ambapo alisema ilikuwa ni kosa kubwa '
- Meneja huyo anaondoka baada ya kushinda mataji ya ligi 13, mawili ya Europa Cup, Matano ya FA na European Cup-Winners'
Taarifa za kushitua za Sir Alex Ferguson
akitangaza kustaafu kwake mbele ya wachezaji wa Manchester United amezitoa akiwa katika chumba cha kubadilishia nguo ndani ya klabu ya kituo cha mazoezi cha Carrington asubuhi ya leo.
Meneja huyo mwenye umri wa miaka 71 aliwasili kama kawaida saa 12.50 asubuhi akifanya mikutano mitatu tofauti akianza na kikosi chake cha wachezaji kisha benchi la ufundi na baadaye wakiwajumuisha stafu wote huko Carrington.
Wachezaji wa Manchester United
wakitembea Chester Racecourse baada ya taarifa mpya ya Sir Alex Ferguson mapema asubuhi ya leo Carrington.
David Moyes meneja mtarajiwa akiondoka katika viunga vya mazoezi vya Finch Farm katika klabu ya Everton mchana wa leo.
FERGUSON'S STATEMENT
'Maamuzi ya kustaafu ni moja ya kile nilicho kuwa nikifikiria kama mpango mkubwa ambao haukuwa rahisi. Ni wakati muafaka.
'Ilikuwa muhimu kwangu kuondoka nikiwa nimeweka mipango mizuri ya lazima kutengeneza sura imara ndani ya klabu jambo ambalo nimelifanya.
Ubora wa kikosi cha ushindi ikiwa ni pamoja na uwiano mzuri wa umri ndani yake ambao utaendeleza mafanikio kwa kiwango cha juu ambapo mfumo wa vijana utahakikisha muda mrefu wa ufanisi unasalia na kungara baadaye.
'Vifaa vya mazoezi ni miongoni mwa mambo muhimu katika ulimwengu wa soka na nyumba yetu ya Old Trafford ikiwa safi na moja ya viwanja bora vinavyoongoza duniani.
'Tunako elekea ninafuraha kuchukua majukumu yote mawili ya ukurugenzi na ubalozi wa klabu . Ni kwa kufanya majukumu haya yanayokwenda sambamba na mipango yangu ninayoipenda sasa ninaangalia mbele huko baadaye.
'Ni lazima niishukuru familia yangu kwa mapenzi yao na ushirikiano wao ambao umekuwa muhimu kwangu.
Mke wangu Cathy amekuwa ni mtu muhimu wakati wote wa kazi yangu, akinipa moyo wa kuwa imara na kunitia moyo. Maneno peke yake hayatoshi kuelezea kile alichokuwa akikimaanisha kwangu.
'Kwa upande wa wachaji wangu na wafanyakazi wenzangu wa huko nyuma na sasa, ningependa kuwashukuru wote kwa kiwango cha juu walichokionyesha cha uendeshaji wa uweledi ambapo walijitolea kusaidia kufikia mafanikio ya mataji yasiyosahaulika .
Bila mchango wao historia ya klabu hii kubwa yasingefikiwa.
'Katika miaka yangu ya mwanzo msaada wa watu wa bodi na hususani Sir Bobby Charlton ulinipa hali ya kujiamini na kujenga klabu kuliko timu ya mpira.
'Kwa muongo uliopita familia ya Glazer ilinipa dira ya kuongoza Manchester United kwa uwezo wangu wote na nimekuwa mwenye bahati kufanya kazi mtendaji mkuu mwenye kipaji na mwenye kuthamini David Gill.
Niwapongeza kwa dhati wote.
'Kwa mashabiki, Ahsanteni sana. Ushirikiano mlionipatia kwa miaka yote ni wa dhati na unyenyekevu kabisa. Ilikuwa ni heshima na fahari kubwa kuwa na fursa ya kuongoza klabu yenu na nimethaminiwa katika kipindi chote nilichokuwa meneja wa Manchester United.'

Aliwaambia wachezaji anawaomba radhi alikuwa na taarifa za kushitusha kwao lakini kwamba hayo yalikuwa ni maamuzi yake binafsi.
Alianza kuongea na stafu wenzake wa benchi la ufundi na kuongea nao kabla ya kuongea na watu wote akiwa katika chumba cha kupatia chakula.
Baadhi ya staff, hasa wale wamekuwa na klabu hiyo kwa miaka 30 walionekana wakitao machozi wakati Ferguson akiongea ambapo hata yeye mwenyewe alipatwa na mshituko.
Aliweka wazi kuwa huenda yakafanyika mabadiliko ndani ya klabu hiyo baada ya kuondoka kwake lakini hakuwa tayari kuyaweka wazi ikiwa ni pamoja na kuondoa wasiwasi kama kuna mtu atakaye poteza kazi.
Alikuwa aungane na wachezaji katika siku hii ya leo ya kufanya mazoezi ya mbio maeneo ya Chester, lakini hakuelekea katika chakula cha mchana wakati wa mchana.
United tayari imeshamchagua mbadala wake na taarifa zinasema kuwa David Moyes yuko katika mpango huo na kwamba anasubiriwa kutambulishwa huku zikiwepo taarifa kuwa Jose Mourinho amekanusha taarifa wakati huu akiwa na mpango wa kujiunga na Chelsea.
Ferguson akiangalia mchezo wake wa kwanza wakati akijiunga na United mwaka 1986 ambapo walichapwa na Oxford.
Ferguson akikumbatia kombe la FA mwaka 1990. Atakabidhi makombe mengi siku ya kuondoka na kupongezwa.
Ferguson akibusu kombe la European Cup-Winners mwaka 1991.
No 1 signing: Eric Cantona (right) was possibly Ferguson's most important acquisition.
Ferguson mwka 1993.
Ferguson na Brian Kidd waliposhinda makombe yote Premier League na FA mwaka 1994.
FERGUSON'S FABULOUS 49
Sir Alex's 49 trophies is the most successful managerial career Britain has ever known.
ST MIRREN
Scottish First Division (1): 1976-77.
ABERDEEN
Scottish Premier Division (3): 1979-80, 1983-84, 1984-85.
Scottish Cup (4): 1981-82, 1982-83, 1983-84, 1985-86.
Scottish League Cup (1): 1985-86.
European Cup-Winners' Cup (1): 1982-83.
European Super Cup (1): 1983.
MANCHESTER UNITED
Premier League (13): 1992-93, 1993-94, 1995-96, 1996-97, 1998-99, 1999-2000, 2000-01, 2002-03, 2006-07, 2007-08, 2008-09, 2010-11, 2012-13.
FA Cup (5): 1989-90, 1993-94, 1995-96, 1998-99, 2003-04.
League Cup (4): 1991-92, 2005-06, 2008-09, 2009-10.
Charity/Community Shield (10): 1990 (shared), 1993, 1994, 1996, 1997, 2003, 2007, 2008, 2010, 2011.
Champions League (2): 1998-99, 2007-08.
European Cup-Winners' Cup (1): 1990-91.
European Super Cup (1): 1991.
Intercontinental Cup (1): 1999.
FIFA Club World Cup (1): 2008

Roy Keane akiwa na Ferguson mwaka 1993 alikuwa kiongozi katika mafanikio mengi ya mzee Ferguson.
Treble joy: Ferguson lifts the Premier League
trophy (left) and the FA Cup - then gets his hands on the Holy Grail,
the European Cup (chini), baada ya ushindi katika huko Barcelona
Meneja wa United akinyanyua kombe la Premier League mwaka 2003, na pia akijandaa kwa shampeni.
Rais wa FIFA Sepp Blatter added: 'Was honour to present Sir Alex with Award at 2011 Ballon D’Or. Will his longevity at the top ever be repeated?'
Former United striker Michael Owen tweeted: 'It's just not sinking in! Manchester United with no Sir Alex just doesn't feel right. What a man and great that it has ended on his terms. What a privilege to have played under arguably the best manager the world has ever seen.'
He then turned his attention to the future, adding: 'What an act to follow. I guess only Mourinho would have the confidence to strut through the door. If it were me, I'd go for Moyes.'
Sir Geoff Hurst, the World Cup-winning hero, said: 'Wishing Sir Alex Ferguson a very well earned retirement although I think he will continue to keep busy! Very big shoes to fill for Manchester United.'
Former Arsenal captain and current Manchester City executive Patrick Vieira said: 'It is the end of an era for a truly great ambassador, not only for the Premier League but for football overall. Best of luck to Sir Alex.'
Chelsea midfielder Michael Essien - currently on loan at Real Madrid - said: 'Sir Alex. A legend and one of the greatest managers ever. Good luck in your retirement.'
Special Ron: Ferguson turned Cristiano Ronaldo from a showboating teenager into one of the world's best
King of Europe again: Ferguson lifts the European Cup in 2008
Sir Alex Ferguson drawn by Trevillion
It read: 'The LMA would like to congratulate Sir Alex Ferguson CBE on a truly remarkable and fantastic career following his announcement today that he will retire at the end of the season.'
Chairman Howard Wilkinson said: 'Today's news draws to a close the career of a man and a manager, the likes of which we will never see again.
'His public face was always that of the ultimate professional with a fierce pride and determination to do the very best for his club. His frighteningly competitive nature has never nor ever will be equalled. He is the epitome of the mantra "Survive, Win, Succeed".
'But, in private, with those he trusted, he was the very best sort of friend you could ever wish for. To say his presence on the bench will be sorely missed in no way begins to describe the massive hole he will leave behind. He always said he was too old to retire, let’s hope he manages to enjoy the retirement he deserves.'
Richard Bevan, chief executive of the LMA added: 'Sir Alex has left an indelible legacy not only at Manchester United but on the art of football management itself.
'It’s not just his longevity in the game, at one of the world’s biggest and most demanding clubs which is remarkable, rather it has been his ability to consistently deliver the highest levels of success throughout his 40 years and over 2150 matches in football management.
'What Sir Alex has achieved personally with both Manchester United and Aberdeen, where he broke the Old Firm stranglehold in winning 10 trophies in seven years before his appointment at Old Trafford, is unrivalled.
'At the LMA we are also extremely grateful for the amount of time and dedication he has willingly provided to our association and our members since he first joined in 1986.
'His input as an Executive Board member and Trustee has been invaluable in the development of the LMA. As he retires as the most successful manager in the history of the British game we congratulate him on a magnificent career and wish him all the very best for the future.'
Even political leaders were having
their say, with Prime Minister David Cameron writing on Twitter: 'Sir Alex
Ferguson's achievement at MUFC has been exceptional. Hopefully his
retirement will make life a little easier for my team AVFC'.
Dr Ferguson: Getting an honorary doctorate during graduation ceremony at Stirling University in 2011
Statuesque: The Sir Alex Ferguson statue,
unveiled last year, outside Old Trafford, while inside the Theatre of
Dreams he salutes the United fans
Title No 13: Arms aloft, Ferguson salutes the Old Trafford crowd after this seasons league title is sewn up
FERGIE'S GREATEST SIGNINGS
Peter Schmeichel (from Brondby, 1991)
Widely regarded as the greatest goalkeeper in Premier League history, the Dane's heroic efforts provided clean sheets aplenty and the security at the back which was so key to United's success throughout the 1990s. Schmeichel, recruited for around £500,000, knew how to intimidate opposition strikers by making optimum use of his frame and at times appeared just as fearful for his defenders, who would frequently receive a rollicking from him. Capped eight glorious years with the club by skippering United - in the absence of the suspended Roy Keane - in the 1999 Champions League final as Ferguson's men secured the treble.
Eric Cantona (from Leeds, 1992)
Cantona's five-year spell at United will never be forgotten. The Frenchman, who cost Ferguson just over £1million, gave the club's fans many a moment to savour on the pitch with his dazzling skills, which helped the Red Devils to a haul of four Premier League titles and two FA Cups. But what perhaps cemented his iconic status was the way he played the part of the tortured genius. The most infamous instance of his short temper was the kung-fu kick he aimed at a Crystal Palace supporter and he made philosophical comments afterwards about seagulls following a trawler. It was somewhat appropriate that he exited early leaving the crowd wanting more, retiring aged 30 in 1997.
Roy Keane (from Nottingham Forest, 1993)
The £3.75million Ferguson paid Forest for Keane was a British transfer record at the time, but there is little question that he got value for money. In 12 years of service, the Irish midfielder was United's engine room and driving force as they dominated English football through the 1990s and into the next decade. He also led them to the 1999 Champions League final, only to miss the game through suspension. Keane succeeded Cantona as captain and was just as combustible a character, if not more so. But it was that edge on the field that so endeared him to United fans and made him the player everyone else wanted in their team.
Cristiano Ronaldo (from Sporting, 2003)
Ferguson signed a teenage Ronaldo for £12.24million and it looked as if he may have paid over the odds for little more than a showboater in the early days of the Portuguese forward's United career. He soon showed his game was not just about stepovers, though, developing into one of the world's most potent players. Ronaldo scored an incredible total of 42 goals for the club in the 2007-08 season as the Red Devils won the Champions League. Although his exit to Real Madrid a year later was a blow, the world record £80million fee he commanded softened it considerably.
Edwin van der Sar (from Fulham, 2005)
Van der Sar was 34 when he arrived at Old Trafford for an undisclosed fee, but the Dutch goalkeeper was in no way a fading force. It soon became apparent that Ferguson had finally found the solution in a position which had been a problem for United since Schmeichel's departure, as Van der Sar's reliable hands helped the team achieve a new period of success. He broke a multitude of records with his clean sheets in the 2008-09 season and finally retired from football in 2011, having won four Premier League titles and the Champions League with the Red Devils.

Professional Footballers' Association (PFA) chief executive Gordon Taylor said Ferguson would be 'the toughest act to follow'.
He said: 'The game of football will be a lot poorer place without him. He has been quite simply the best. He followed in Sir Matt Busby's footsteps and even surpassed him. He will be also be the toughest act to follow.'
Taylor has been PFA chief throughout Ferguson's time at United and he admitted they had clashed on occasion - but that it was soon forgotten.
He added: 'I will miss him - he has been a very good friend of the PFA throughout his career. Of course at times it has not always been smooth and we have had a difference of opinion but we always respected each other and we have had a lot more agreements than disagreements.
'He is a great football man, he has turned out team after team and in terms of youth development he has been one of the finest exponents of that. He has had a faith and a belief in his youngsters that is rare in today's football.'
Former youth team player Bojan Djodjic: 'Will never forget mornings at Carrington in Sir Alex office. He used to show us in the youth team videos of him elbowing defenders! #legend'
Former midfielder Paul Ince described Ferguson as one of a kind and also admitted finding a replacement would not be easy.
Blackpool manager Ince told Sky Sports News: 'He's done the lot, you will never see anyone of his kind again.'
When Ince joined United from West Ham in 1989 Ferguson made sure his move was not ended because of a problem with his medical.
'I remember the first day that I joined Man Utd. I failed my medical and I thought my move to Man Utd was going to collapse. The way he treated me was like a son and I will never forget that moment.
'To play under that man was so demanding, his standards were so high. We had our ups and downs, a lot have ups and downs with him.'
And on the potential successor, Ince said: 'It's got to be someone with a massive character. It has got to be someone who can deal with what it takes to be a Manchester United manager.
'Whoever comes in to replace him is going to have to deal with the Man United legacy.'
Ince believes Ferguson staying at the club as a director could be a double edged sword for his successor.
'It can have its advantages and disadvantages. Replacing Alex Ferguson is such a massive, massive job. Whoever goes in will need the help of Alex Ferguson,' he said.
'Whoever comes in if it doesn't go well you've got Sir Alex Ferguson upstairs and it can put added pressure on you.'
Schmeichel however believes Moyes would be a good fit as a successor as he has proved he can stay at one club for a long time, spending 10 years at Everton.
'What we are looking for is, not someone to come in 10 months or three years, we want someone to come stay there and give stability,' he added.
'When we talk about Moyes, he has been a decade at Everton and done a fantastic job on limited funds.
'Is he cut from the same cloth? I don't know. Don't forget there will be major changes with David Gill stepping down - the club is really changing in the summer, the more stability they can add the better. David Moyes, he sounds like a good solution.'
Former United striker Dwight Yorke, who played under Ferguson between 1998 and 2002 and was part of the 1999 Treble-winning side, feels a combination of factors led the Scot to call it a day at the age of 71.
'I've seen Sir Alex Ferguson on Monday at a charity game,' the former Trinidad and Tobago forward told Sky Sports News.
'He was in good spirits but the rumours were really strong around the place that he was going to retire and there was a big announcement supposed to be happening tomorrow and not today.
'I think probably the fact of the club floating on the stock market meant this decision needed to come out very quickly. But the people within the football club knew this was likely to happen this season. And I think with his hip replacement (booked in for late July), with David Gill going as well, that sort of pushed him to say, "This might be the best time for me to retire".'
Yorke expects there to be a strange atmosphere in the immediate wake of Ferguson's departure from the helm.
'He's been such a focal point at the football club,' he said. 'He's taken Manchester United to the level they are at right now.
What's next? Fans now face a nervous wait over who will replace Sir Alex, with David Moyes widely expected
Ferguson, of course, will be bowing out on a high having regained the Premier League title after being pipped to the crown by rivals Manchester City in dramatic circumstances on the final day of last term.
'He has very, very high standards and it's all about winning trophies and breaking records with Sir Alex Ferguson,' Yorke continued.
'But there's more to the man. How they lost the Premier League last season - that would have hurt him immensely. Certainly losing it to Manchester City, that would have hurt worse than anything else.
'He wanted to regain it and he's managed to do that in a great way and with a great style of play.'
Former United midfielder Lou Macari was shocked by this morning's announcement and acknowledged Ferguson's successor would have a difficult act to follow.
The Scot, now a pundit for MUTV, told the club's television channel: 'It really has caught me by surprise this morning.
'My phone kept ringing all morning and I thought it must be something serious. When the news comes through, it's about the manager... which is serious if you're a Manchester United supporter.
'Everybody will be a little bit concerned. Can the next guy coming through the door do what Sir Alex has done? That's going to be tough.'
He continued: I know the club will be looking for a manager for the long term and not looking for a quick fix or anything like that.
'(Whoever comes in has) got to live in the shadow of Sir Alex Ferguson, Sir Matt Busby. He's got to want attacking football, got to be able to work with top-class players and obviously got to have belief in youth development as well.'
No comments:
Post a Comment