KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, March 19, 2014

Matokeo ya United ya michezo ijayo ndio hatma ya David Moyes Old Trafford

Matokeo na kiwango kibovu cha hivi karibuni cha Manchester United imeibua maswali mapya juu ya hatma ya baadaye ya meneja wa klabu hiyo David Moyes ndani ya Old Trafford.
Kichapo dhidi ya Olympiakos katika ligi ya mabingwa Ulaya usiku huu na kuelekea kwenye mchezo mwingine wa ligi baadaye Jumamosi dhidi ya West Ham na vilevile ikiwa ni kabla ya mchezo mwingine mkubwa dhidi ya wapinzani wao wakubwa wa mji mmoja Manchester City yaani Manchester derby imeanza kuibua wasiwasi ndani ya bodi ya Old Trafford na huenda ikamfungulia mlanngo wa kutokea Moyes ikiwa ni siku chache kabla ya kukamilisha msimu ndani ya mkataba wake wa miaka sita.

Wafuatao wanaweza kushinda nafasi yake ikiwa mambo yatakwenda kombo kwa Moyes
Five managerial contenders if Moyes gets the boot
Sir Alex Ferguson anasubiri pembeni kujua nini kitaamuliwa na Bodi na ana nafasi ya kurejea tena
Sir Alex Ferguson
Fergie aliwahi kutaka kujiuzu kabla ya kubadili maamuzi na kurejea tena mwaka 2001. Wakati klabu yake kipenzi ikionekana kuingia katika mzozo anaweza swali ni kwamba anaweza kujutua maamuzi yake kwamba alifanya makosa kustaafu kazi na kurejea mara hii? Kama hivyo ndivyo, je maisha yake ya umeneja akiwa na umri wa miaka 72 yawezakama ikawa bado? Kama itakuwa hivyo je United inaweza kurejea kwake ambaye alimteua Moyes, na ambao mashabiki wengi wamekuwa wakimlaumu kwa yote yanayotokea ndani ya klabu?
Five managerial contenders if Moyes gets the boot
Diego Simeone ameshinda mataji na amekuwa na hadhi nchini Hispania
Diego Simeone
Mwezi huu meneja huyu wa Atletico Madrid amestahili sifa kwa kuirejesha Madrid katika nafsai ya pili na kuwa katika kinyanganyiro cha kuwania taji la La Liga na kuingia Ulaya inadhani kuwa anaweza endapo atajiunga Old Trafford kushawishi mshambuliaji Diego Costa kujiunga naye. Mwenendo wa Muajentina huyo unaweza kuwashawishi wazee wenye ushawishi mkubwa ndani ya Old Trafford kama Ferguson Sir Bobby Charlton kuwa Simeone anafaa kujiunga na United.
Five managerial contenders if Moyes gets the boot
Louis van Gaal pia amekuwa akihusishwa kujiunga Tottenham
Louis van Gaal
Mduchi Van Gaal amekua PR nzuri katika umeneja wa soka ukilinganisha na Andre Villas-Boas. Hivi karibuni amekuwa akihusishwa na mazungumzo na Tottenham licha ya Van Gaal kuorodheshwa kuchukua nafasi ya Moyes katika klabu ya Manchester United. Kocha huyo wa Uholanzi amekuwa katika wakati mzuri wakati huo akiwa na Barcelona and Bayern Munich.
Five managerial contenders if Moyes gets the boot
Jurgen Klopp anataka kujaribu changamoto baada ya kuondoka Borussia Dortmund
Jurgen Klopp
The hipster’s favourite, Kloppi has endured some tough times at Borussia Dortmund this season with injuries and the sale of key players hitting last year’s Champions League runners-up hard. The upside is the troubles could leave the German, who has previously shown little interest in quitting the Westfalenstadion, open to a new challenge. Would bring an upbeat slant to any traumatic regime change.
Five managerial contenders if Moyes gets the boot
Ryan Giggs is already part of Moyes’ coaching staff
Ryan Giggs
The forgotten man of Manchester United. Giggs was added to Moyes’ coaching staff in the summer and looked likely to provide a key link between the old and new regimes. However, recent reports have suggested the 40-year-old has drifted out of Moyes’ inner circle (though Giggs denies a rift) and his influence on the pitch has been scant – with just one substitute appearance since January. Viewed by Ferguson as an astute judge of the game, the Welshman would be a useful stop-gap, although a gamble as a long-term option.

No comments:

Post a Comment