KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, August 1, 2014

ARSEN WENGER AMFUNGULIA MLANGO WA KUTOKEA THOMAS VERMAELEN WAKATI UNITED NA BARCELONA WAKIONYESHA MLANGO WA KUINGILIA

Mlango umefunguliwa kwa Vermaelen wakati huu Manchester United na Barcelona wakihusishwa.

Arsene Wenger amesema kuwa mlinzi wa kati na nahodha wake Thomas Vermaelen anaweza akaondoka Arsenal, wakati huu ambapo Manchester United wakiendelea kuonyesha nia ya kumsajili.

Wenger, akiongea kuelekea katika ushiriki wao wa Emirates Cup mwishoni mwa wiki hii amesema anategemea mlinzi huyo wa kati wa Belgium atasalia klabuni lakini pia anayo nafasi ya kuondoka.

Menejea huyo wa washika mitutu amesema 
'Ni majeruhi kwasasa, lakini kuna uwezekano pia akaondoka lakini nategemea atabaki ni mchezaji mzuri.'

Vermaelen anawindwa na meneja Manchester United Louis van Gaal lakini pia amekuwa akihusishwa na kuelekea Barcelona.

Wenger pia ametupilia mbali juu ya tetezi za kutaka kuwasajili Mcolombia Juan Quintero na Mario Balotelli.
Prepare: Wenger was speaking ahead of the Emirates Cup, Arsenal's annual pre-season tournament
Wenger alikuwa akiongea kuelekea Emirates Cup, Arsenal michuano ya mwishoni katika maandalizi ya msimu
Long-term: Wenger plans to convert new signing Calum Chambers into a central defender
Wenger anajipanga kumbadilisha Calum Chambers kucheza ulinzi wa kati
Fit as a fiddle: Jack Wilshere is in the best shape for three years, according to Arsenal boss Wenger
Jack Wilshere amekuwa katika hali nzuri kimchezo katika kipindi cha miaka mitatu anasema Wenger