KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, May 3, 2013

SAFARI YA MOURIHNO KUELEKEA CHELSEA YANOGESHWA NA MASHABIKI USIKU WA JANA...

Simply the best: Nobody has been as successful as Jose Mourinho (centre) at Chelsea
Simply the best: Nobody has been as successful as Jose Mourinho (centre) at Chelsea.
 Karibu miaka sita imepita tangu aondoke katika kazi ya kuifundisha Chelsea, jina la Jose Mourinho kwa mara nyingine tena limesikika likiimbwa katika viunga vya Stamford Bridge.

Siyo siri kwamba kipindi cha Mourinho kuwa bosi wa Real Madrid kimefikia tamati njia ya kuelekea Stamford Bridge inazidi kuwa wazi na kuwa sehemu yake ijayo.

Usiku wa jana wakati meneja wa muda Rafa Benitez alipokuwa akiiongoza Chelsea kuelekea katika fainali ya Europa League jina la Mourinho lilikuwa kwa mara nyingine tena midomoni mwa mashabiki wa klabu hiyo.

 Lakini swali la kujiuliza ni kwanini Mreno huyo bado ana nafasi katika miyoyo ya mashabikiwa wa Chelsea?

Roman Abramovich ndiye mtu aliyeanzisha mapinduzi ndani ya Chelsea kwa kuwa bila ya pesa zake makombe na mataji ingekuwa ngumu.

RIKODI YA MAFANIKO YA MAKOCHA KATIKA BLABU YA CHELSEA

ManagerGames PlayedWin PercentageTrophies Won
Guus Hiddink2273One FA Cup
Jose Mourinho18567Two League Titles, Two FA Cups, Three League Cups
Avram Grant5467None
Carlo Ancelotti10961One League Title, One FA Cup
Roberto Di Matteo4257One Champions League, One FA Cup
Gianluca Vialli14253One FA Cup, One Cup Winners' Cup, One League Cup, One Super Cup
Rafa Benitez3853None (In the Europa League final)
Dave Sexton 37344One FA Cup, One Cup Winners' Cup
Ted Drake424 37 One League Title

Ndani ya Chelsea katika kipindin cha miaka 106 ya historia ya klabu hiyo , Jose Mourinho ni miongoni mwa mameneja wenye asilimia kubwa ya mafanikio yeye akiwa na asilimi 67 akiwa nyuma ya Gus Hiddink mwenye asilimia 73 sawa na Avram Grant.
Hiddink katika kipindi chake cha ubosi alicheza michezo 22 huku Grant akicheza michezo 54 naye Mourinho michezo 185.
Back to back: Successive titles cemented his legacy
The Special One: Mourinho won Chelsea hearts and minds in his very first press conference
Bila shaka ni ni dhahiri kuwa hakuna ambaye amefanikiwa kuteka miyoyo ya watu chelsea kama yeye kimafanikio na hata kitakwimu.
Katika mataji manne ya Chelsea , Mourinho ameshinda mawili katika kipindin cha miaka miwili ya mwanzo ya utmishi wake.

Alishinda FA Cup na mataji mengine mawili ya League Cups katika kipindi chake cha miaka mitatu nanusu katika historia ya klabu hiyo.
Kilikuwa ni kipindi cha furaha kwa mashabiki w klabu hiyo.
Licha ya kwamba mtindo wake wa uchezaji ulitambulika zaidi kama attritional and borne out of defensive and team discipline, ilikuwa ni vizuri kuwaangalia wachezaji kama Arjen Robben, Damien Duff na Joe Cole wakicheza ndani ya mtindo huo enzi hizo.

Damien Duff
Arjen Robben

Pichani juu: Arjen Robben (kushoto ) na Damien Duff (kulia) walikuwa na uwezo wa kuonyesha soka safi.
 
Still loved: Chelsea fans unveil a banner in support of Mourinho at the game against West Brom
Mashabiki wa Chelsea wakionyesha kupitia mabango ujumbe wa kumtaka Mourinho. Hii ilikuwa ni katika mchezo dhidi ya West Brom.

Opposition: Chelsea fans in the game after Mourinho was sacked in 2007
Opposition: Mashabiki wa Chelsea katika mchezo baada ya  Mourinho 2007.

The final word: Is Roman Abramovich (right) prepared to let Mourinho back into Stamford Bridge?
Roman Abramovich (kulia) akiwa na Mourinho Stamford Bridge. Je Kweli atamrudisha?

No comments:

Post a Comment