KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, July 5, 2013

HILI NI BATA LA MAANA LA CESC FABREGAS PWANI YA IBIZA ......

Up close: Cesc Fabregas and his girlfriend Daniella Semaan share a kiss during their holiday
Add cCesc Fabregas na mpenzi wake Daniella Semaan wakipigana mabusu wakiti wa mapumziko yao.aption

CESC FABREGAS (IBIZA)
Cesc Fabregas hatimaye amepata fursa ya kujiachia katika pwani ya Ibiza baada ya mwaka wa misukosuko ya msimu wa 2012/2013.

Akitokea ndio kwanza anarejea kutoka katika michuano ya kombe la mabara nchini Brazil akiwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Hispania, kiungo huyo wa Barcelona na mpenzi wake Daniella Semaan walielekea kula bata pwani ya Ibiza kukifaidi kijua cha majira ya kiangazi.
Wawili hao walikutwa wakiwa wamepumzika juani na kicha kupoza mwili kwa kuingia katika maji ya pwani ya kisiwa maarufu huko Hispania.

Baadaye waliungana na mailia ya mshambuliaji nyota wa Bacelona  Lionel Messi aliyekuwa na mpenzi wake Antonella Roccuzzo.

Escape: Fabregas and Semaan are enjoying an extended break in Ibiza after the Confederations Cup
Fabregas na Semaan wakifurahia kipindi kirefu cha mapumziko ya kumalizika msimu baada ya kumalizika kwa michuano ya kombe la shirikisho.

football
football

SCompany: Semaan was joined by Lionel Messi's girlfriend Antonella Roccuzzo
Semaan aliungana mpenzi wa Lionel Messi Antonella Roccuzzo

Fabregas aliisaidia sana Barcelona kutetea taji la ligi kuu ya Hispania lililochukuliwa na Madrid msimu uliopita kabla ya kuelekea nchini Brazil katika michuano ya kombe la shirikisho akiwa na kikosi cha Hispania.

Hispania ilichapwa na Brazil kwa mabao 3-0 katika mchezo wa fainali wa michuano hiyo mchezo ulipigwa katika dimba la Maracana licha ya kushinda katika mchezo wa nusu kwa kuichapa Italia kwa mikwaju ya penati.

No comments:

Post a Comment