Jack Wilshere ana imani kuwa klabu yake ya Arsenal itakuwa ni moto wa kuotea mbali wakati kufikia wakati ya ligi ya kuanza msimu lakini pia akagusia juu ya uimara wa afya yake kuwa iko katika asilimia 80.
Kiungo huyo wa washika mitutu ambaye alikosekana katika michezo ya mwisho ya kumalizia msimu uliopita kufuatia The Gunners midfielder, who missed the back end of last season
through kuwa katika hali ya majeruhi lakini akishiriki ziara ya barani Asia hivi karibuni akitegeme zaidi kupasha misuli katika michuano maalum ya klabu yake maarufu kama Emirates Cup na pia katika mchezo dhidi ya Manchester City katika kujiweka fiti na kampeni mpya ya ligi.
Amenukuliwa akisema,
‘Nilijisikia vema katika kila mchezo baada ya mchezo’
‘Ilikuwa ngumu kutokana na hali ya hewa , unapigana na hali ya kupumua. Kiwango katika michezo ya barani Asia ilikuwa ikiimarika kila mchezo mmoja na pia wapinzani walipata taabu katika kila mchezo hivyo yalikuwa ni maandalizi mazuri.
‘Tutakuwa na mashindano ya Emirates Cup na pia tutacheza na Man City mjini Helsinki na baada ya hapo msimu utakuwa unaanza tutakuwa na moto mzuri,
No comments:
Post a Comment