KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, August 31, 2013

Chisora ready to challenge Klitschkos if he can see off Gerber in European title fight

Man on a mission: Dereck Chisora aims to win the European heavyweight title against Edmund Gerber
Man on a mission: Dereck Chisora aims to win the European heavyweight title against Edmund Gerber

 Dereck Chisora plans to dispatch Edmund Gerber to win the European heavyweight title before setting his sights on the Klitschko brothers.
The Londoner faces Gerber for the vacant title at the Copper Box Arena on September 21 alongside British stars Billy Joe Saunders, John Ryder, Frankie Gavin and Paul Butler.
And after back-to-back victories over Hector Alfredo Avila and unbeaten American Malik Scott, Chisora plans to catapult himself back into world title contention.
'Beating Gerber is another step closer to the Klitschko brothers and nothing is going to stop me winning the European title,' he said.
'I'm fit, lean and mean and ready to do the business against Gerber who is a good fighter, but not in my class.
'I really want do a great job on him, really smash him up and show that I deserve a shot at the Klitschkos.
Impressive victory: Chisora beat the previously undefeated American Malik Scott
Impressive victory: Chisora beat the previously undefeated American Malik Scott

'The titles are great, winning the European belt will mean I’ve won the big three along with the British and Commonwealth, but the world title is the one I want.' Tough German Gerber has won 23 fights with 14 knockouts and his sole loss was on points to Michael Sprott last December.
He has fought in Britain before, stopping Colin McKenna in the opening round with a body shot at the Manchester Arena in November 2010.

NGUMI ZA JANA USIKU KATIKA PICHA (KING CLASS MAWE,THOMASI MASHALI,CHEKA VIDEDEA)

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Simba Watunduru wakati wa mpambano wao uliofanyika usiku Ijumaa katika ukumbi wa Diamondi Jubelee King class alishinda kwa pointi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Simba Watunduru wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya ijumaa katika ukumbi wa Diamondi Jublee King class alishinda kwa pointi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Simba Watunduru wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya ijumaa katika ukumbi wa Diamondi Jublee King class alishinda kwa pointi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondi Fransic Cheka kushoto akioneshana umwamba na ubingwa wa WBF uliofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee cheka alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

DIDIER DROGBA AMPA MANENO YA FARAJA ROMEO LUKAKU BAADA YA KUKOSA PENATI KATIKA FAINALI YA SUPER CUP.

Happier times: Didier Drogba posted this photo on Instagram with a message of support to Romelu Lukaku, left, after his Super Cup travails
Didier Drogba ameposti picha kupitia ukurasa wake wa Instagram iliyokuwa na ujumbe wa kumpa nguvu Lukaku baada ya kukosa penati katika mchezo wa fainali ya Super Cup.
Spot woe: Chelsea's Lukaku reacts after after missing his penalty in the Super Cup final
Lukaku wa Chelsea akionekana kutahayari baada ya kukosa penati katika fainali ya Super Cup.
Disappointment: Lukaku is consoled by his Chelsea team mates after missing
Lukaku akionekana ni mwenye huzuni akifarijiwa na wachezaji wenzake baada ya kukosa penati.

 Mshambuliaji wa Chelsea Romelu Lukaku ambaye alikosa penati usiku wa jana dhidi ya Bayern Munich ambayo ilipelekea Munich kushinda taji la Super Cup amepozwa machungu na kutiwa moyo na mshambuliaji wa zamani wa The Blues Didier Drogba.
Lukaku mwenye umri wa miaka 20 alishuhudia penati yake ikiokolewa na mlinda mlango wa Munich Manuel Neuer mjini Prague ambayo iliwapa ubingwa ubingwa Munich ambayo haikuwa na bahati ya kufunga magoli katika muda wa kamwaida wa mchezo huo kabla ya kupata bao la dakika za majeruhi za muda wa nyongeza.
Lakini hata hivyo mshambuliaji nguli wa zamani wa Stamford Bridge Drogba, ambaye kwasasa anaichezea Galatasaray ya Uturuki ametoa maneno ya kumfariji Lukaku kwa kusema Mbelgium huyo hapaswi kukata tamaa.
Drogba mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast ambaye ameposti picha yake akiwa na Lukaku kupitia ukurasa wake wa Instagram ikiwa imeambatana na ujumbe 
'Only those who don't take a penalty never miss and you were strong enough to do it.
'You are learning, the same way I learnt with this red card in the final in Moscow or this semi-final against Barcelona!!!
'Keep on working hard better days are coming for sure. You are Chelsea, you're a blue and blues never give up.'
Turkish delight: Drogba currently plays for Galatasaray
Drogba akiwa katika jezi ya timu yake ya sasa ya Galatasaray.
Goal machine: Drogba enjoyed a successful spell with Chelsea
Mfumania nyavu Drogba akifurahia ushindi enzi zake akiwa na klabu yake ya zamani wa Chelsea.

Manchester City yainyuka Hull 2-0

Manchester City imeishinda Hull City uwanjani Etihad ,lakini licha ya ushindi huo kiwango chake hakijaridhisha.
Alvaro Negredo kutoka benchi amenusa nyavu kwa goli aliloingiza kwa kichwa baada ya saa nzima ya mchezo kabla ya Yaya Toure kufunga bao la pili kwa mkwaju wa free-kick aliopiga kwa ustadi mkubwa.
Hull iliweza kupata nafasi kubwa za kufunga bao katika kipindi cha kwanza ambapo mshambuliaji Sone Aluko alishindwa kumalizia katika lango lililokuwa limeachwa wazi na kipa Joe Hart.
Manchester City ilionekana bado kutetereka katika safu yao ya ulinzi baada ya kukosa tena huduma za mlinzi Vicent Kompany ambaye bado anauguza jeraha.

Mourinho apuuza ushindi wa Bayern

Jose Mourinho alidai baada ya mechi ya usiku wa jana kuwa timu bora ndiyo iliyopoteza kufuatia ushindi wa Bayern Munich dhidi ya watu 10 wa Chelsea kwa matuta 5-4 kufuatia suluhu ya bao 2-2 katika mchuano wa kombe la Uefa la Super Cup.
Chelsea ilionekana kukaribia ushindi zikiwa zimesalia sekunde chache kipenga cha kumaliza mechi kipigwe mjini Prague, lakini mchezaji aliyeingizwa katika mda wa majeruhi Javi Martinez akarudisha na kusababisha mda wa ziada na hivyo kusababisha mshindi aamuliwe kwa njia ya matuta.
Mchezaji Romelu Lukaku ndiye aliyekosa mkwaju wa mwisho ambao ungeamua mshindi lakini Mourinho hata hivyo kama kawaida alionekana kua katika hali ya ubabe bila kutaka kukubali matokeo.
"timu bora wazi wazi imepoteza," alisema. "wametushinda kwa sababu ya kufunga mkwaju mmoja zaidi yetu."
Awali mshambuliaji Fernando Torres aliipa Chelsea bao la kwanza katika kipindi cha kwanza lakini Franck Ribery akarudisha dakika mbili baada ya kipindi cha pili kuanza na kupelekea mchezo uingia mda wa ziada.
Mnamo dakika ya 85 mcheza kiungo Ramires akaonyeshwa kadi nyekundu na kuwaacha washindi wa Ligi ya Europa League uchi. Ingawa Eden Hazard aliirejeshea Chelsea matumaini katika kipindi hiki cha ziada, Martinez aliusukuma mpira wavuni sekunde chache kabla ya kipenga cha mwisho kusababisha mechi kuamuliwa kupitia matuta.

  BAYERN MUNIC YASHINDA TAJI LA SUPER CUP.
 Bayern Munich imeshinda taji la EUFA Super Cup kwa kuichapa Chelsea mabao 5-4 kupitia mikwaju ya penalti katika mechi iliyochezwa jana usiku kwenye uwanja wa Eden Arena mjini Prague, Jamhuri ya Cheki.
Bayern Munich, ikiongozwa na kocha wao mpya, Pep Guardiola, imelipiza kisasi kwa kushindwa na Chelsea katika fainali ya Champions League mwaka 2012 baada ya kuifunga klabu hiyo mabao 5-4 kupitia mikwaju ya penalti kufuatia mtanange wa kuwania kombe la UEFA Super Cup kuishia sare ya mabao 2-2 baada ya muda wa ziada kumalizika.
Bao la Bayern sekunde chache kabla mchezo kumalizika, liliufungua mlango wa kuelekea ushindi kupitia penalti dhidi ya Chelsea chini ya kocha wao mpya, Jose Mourinho. Penalti zote tisa ziliutikisa wavu kabla mkwaju wa penalti wa mchezaji wa Chelsea, Romeu Lukaku, kuokolewa na kipa wa Bayern Munich, Manuel Neuer, na hivyo kuwapa ushindi mabingwa wa Ulaya, Bayern Munich, dhidi ya mabingwa wa ligi ya Ulaya, Chelsea.

Ushindi wa kwanza katika historia
Hii ni mara ya kwanza kwa Bayern Munich kushinda kombe la UEFA Super Cup katika historia yake, baada ya kupoteza fainali nyengine tatu. 
Fernando Torres aliifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya nane ya mchezo, pale alipopewa mpira na Mjerumani Andre Shuerrle. Frank Ribery alisawazisha dakika ya 47 katika kipindi cha pili kupitia mkwaju mkali akiwa mita 25 kutoka lango la Chelsea, mkwaju ambao kipa wa Chelsea, Petr Cech, hakuweza kuuzuia.
"Nina furaha sana kwa ajili ya timu yangu na kocha wangu. Ilikuwa siku maalumu sana kwake katika uhasama wake wa kihistoria na hasimu wake Mourihno," amesema Frank Ribery baada ya kuinua kikombe hicho. "Tulikuwa na bahati leo. Nadhani ushindi huu utatusaidia na utatupatia motisha zaidi," akaongeza kusema Ribery.
GettyImages 178675381
PRAGUE, CZECH REPUBLIC - AUGUST 30: Franck Ribery of Bayern Munich is congratulated by Philipp Lahm of Bayern Munich afterscoring their first goal during the UEFA Super Cup between Bayern Muenchen and Chelsea at Stadion Eden on August 30, 2013 in Prague, Czech Republic. (Photo by Shaun Botterill/Getty Images) Ribery akipongezwa na Philip Lahm baada ya kufunga.
 
Kiungo wa Chelsea, Ramires, alitolewa uwanjani dakika ya 85 kwa kuonyeshwa kadi nyekundu baada ya kumfanyia madhambi Mario Goetze wa Bayern.
 Hata hivyo vijana 10 wa Jose Mourinho walifunga bao la pili dakika ya tatu ya kipindi cha kwanza cha muda wa ziada kupitia Mbelgiji Eden Hazard.
 Hazard aliwachenga walinzi wawili wa Bayern katika wingi ya kushoto na kuvurumisha mkwaju uliopita mikono ya mlinda lango wa Bayern, Manuel Neuer, na kuutikisa wavu.
 Timu ya Pep Guardiola iliendelea kukidhibiti kindumbwendumbwe hicho, kama ilivyofanya wakati ilipokuwa ikiongozwa na kocha wa zamani, Jupp Heynckes, katika fainali ya Champions League miezi 15 iliyopita, lakini juhudi zao za kufunga mabao zilikwamishwa na kipa wa Chelsea, Petr Cech, aliyekuwa macho sana kila mara akiokoa mabao ambayo yalikuwa yaingie wavuni.

Pep 'ampepeta' Mourinho

Ilionekana kana kwamba Chelsea wangeshinda mpambano huo kwa mabao 2-1, hadi pale Javi Martinez wa Bayern, aliposawazisha sekunde chache tu kabla kipyenga cha mwisho kupulizwa kumaliza kipindi cha mwisho cha muda wa ziada.

 "Wanachukua kikombe lakini timu bora imeshindwa. Wapinzani wetu wamefunga magoli mawili na sisi pia tumefunga mawili. Lakini wamefunga penalti moja zaidi kuliko sisi.

 Ni wazi kabisa timu bora imepoteza mechi hii," amesema kocha wa Chelsea, Jose Mourinho, wakati wa mahojiano yake na Sky Sports.
FILE - Picture dated 16 April 2011 of FC Barcelona's head coach Pep Guardiola (L) shaking hands with Real Madrid's Portuguese head coach Jose Mourinho (R) before their Spanish Primera Division soccer match at the Santiago Bernabeu stadium in Madrid, Spain. EPA/BALLESTEROS (zu dpa-Korr.: «72 Stunden vor Supercup-Finale: Bayern ohne Spanier in Freiburg» vom 26.08.2013) +++(c) dpa - Bildfunk+++ Pep Guardiola wakisalimiana na Jose Mourinho (kulia)
 
"Kwangu mimi tulikuwa timu bora zaidi. Bayern walikuwa na dakika 15 katika kipindi cha pili ambazo walitawala mchezo na kuudhibiti mpira, lakini licha ya kuwa na wachezaji 10, tulicheza vizuri sana.
 Tumecheza dhidi ya mabingwa wa Ulaya na wachezaji wangu walikuwa timu bora - tuna sababu za kujivunia kuamini katika siku zijazo. Napendelea kusema tu kwamba timu bora imeshindwa na nitabaki na msimamo huo," akaongeza kusema Mourinho.

Akifurahia ushindi wake wa nane dhidi ya Mourinho katika michuano 16 iliyopita, Pep Guardiola amempongeza mtangulizi wake, Jupp Heynckes, aliyeiongoza Bayern kushinda mataji matatu msimu uliopita. "Nataka kumshukuru Jupp Heynckes kwa fursa ya kucheza katika fainali hii. Ni kwa sababu ya bidii yake kwamba tuko hapa."

Maoni na hisia tofauti
Guardiola ametofautiana na msimamo wa Mourinho kwamba timu bora imepoteza mechi hiyo. 
"Naamini timu bora ndiyo iliyoshinda. Sisi tulitengeneza nafasi nyingi za kufunga magoli. 
Chelsea ina wachezaji wenye uzoefu mkubwa kama vile Petr Cech, Frank Lampard, John Terry na Ashley Cole. Walikuwa na nafasi zao, lakini tulistahili kushinda." amesema kocha huyo wa Bayern.
epa03843983 Chelsea goalkeeper Petr Cech is beaten as Bayern Munich levels the score 1-1 during the UEFA Super Cup match between Bayern Munich and Chelsea in Prague, Czech Republic, 30 August 2013. EPA/FILIP SINGER +++(c) dpa - Bildfunk+++
Kipa wa Chelsea, Petr Cech, akifungwa bao
Wakati huo huo, mlinda lango wa Chelsea, Petr Cech, amesema, "Tulitaka sana kushinda kombe hili na wao pia walitaka.
 Walilitafuta bao la kusawazisha na sisi tulikuwa tukiwazuia na kuimarisha kwa bidii safu yetu ya ulinzi.
 Inauma sana jinsi walivyofaulu kukomboa." Cech ameongeza kusema, "Kila mtu anaichukulia Bayern kama timu yenye nafasi nzuri ya kushinda Champions League msimu huu na kama timu bora duniani wakati huu, lakini tumeonyesha umahiri mkubwa, wakati mambo yalipokuwa yakituendea kombo."
Ni mchuano wa kwanza kuwania Super Cup kutochezwa Monte Carlo tangu mwaka 1997 na bila shaka ndio umekuwa wa kusisimua zaidi na wenye kumbukumbu nyingi kuliko michuano mingine yote. Pia ni fainali ya kwanza ya Super Cup ambapo mshindi amepatikana kupitia penalti.

Kevin-Prince Boateng arudi katika Bundesliga

Kiungo wa AC Milan, Kevin-Prince Boateng, amejiunga na Schalke 04 kwa mkataba wa miaka mitatu siku ya Ijumaa (30.08.2013). Anakiri ana furaha kurejea katika ligi ya Ujerumani, Bundesliga.
Inaripotiwa kwamba Schalke iliwalipa wataliana euro milioni 12 kumpata Kevin -Prince Boateng, nyota wa timu ya taifa ya kandanda ya Ghana. na mkataba wake unajumuisha uwezekano wa kuongezewa msimu wa nne. "Bundesliga ndio ligi nzuri kabisa ulimwengu na ndiko wachezaji bora duniani wanakokwenda," alisema mchezaji huyo wa umri wa miaka 26 katika mkutano na waandishi wa habari mjini Gelsenkirchen. "Nimesema kila mara kwamba nilitaka kucheza nchini Ujerumani."
Kevin, ambaye ni kakake mchezaji wa safu ya ulinzi wa timu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani, Jerome Boateng, alianza kibarua cha kucheza soka katika klabu ya Hertha Berlin na kuhamia Tottenham Hotspur, England, kwa kitita cha euro milioni 7.9 mnamo mwaka 2007. Alirejea kwa muda mfupi Ujerumani kwa mkopo katika timu ya Borussia Dortmund, mahasimu wa Schalke, kabla kujiunga na Portsmouth na baadaye kwenda Milan.
Ni mchezaji mahiri
Boateng alifunga mabao mawili katika ushindi wa Milan siku ya Jumatano dhidi ya PSV Eindhoven katika duru ya pili ya mchuano wa mchujo na kufaulu kushiriki mashindano ya kuwania kombe la mabingwa wa Ulaya, Champions League, msimu huu kwa jumla ya magoli 4-1.
epa03840864 AC Milan's Ghanaian midfielder Kevin-Prince Boateng (R) celebrates with his teammate Mattia De Sciglio (L) after scoring the opening goal during the UEFA Champions League playoff second leg soccer match between AC Milan and PSV Eindhoven at Giuseppe Meazza stadium in Milan, Italy, 28 August 2013. EPA/MATTEO BAZZI +++(c) dpa - Bildfunk+++
Kevin wakati wa mechi kati ya Milan na PSV Eindhoven
"Ni mchezaji wa kipekee mwenye uwezo mkubwa na ujuzi wa uongozi," amesema kocha wa Schalke, Jens Keller.
 Pamoja na nyota wa Schalke, Julian Draxler, mwenye umri wa miaka 19, Boateng huenda akaunda ushirikiano imara. Meneja wa Schalke, Horst Heldt, amefutilia mbali uwezekano wa kumuuza Draxler kabla muda wa wachezaji kuhamia timu nyengine kumalizika wiki ijayo.
 "Itakuwa hatua ya kuchanganyikiwa kumpa mkataba mchezaji mzuri kisha baadaye umuache mwingine aondoke. Hilo silo tunalolitaka," akaongeza kusema Heldt.
Boateng anaweza kucheza katika mechi ya leo dhidi ya Leverkusen, licha ya kufungiwa mechi nne wakati alipotolewa uwanjani kwa kumpiga usoni mchezaji wa timu nyingine katika mechi yake ya mwisho kati ya Dortmund na Wolfsburg mnamo mwaka 2009.

Friday, August 30, 2013

BALE AKUBALI MASLAHI BINAFSI KUTOKA KWA MADRID.

Gareth Bale amekubali kimsingi juu ya maslahi binafsi na klabu ya Real Madrid kueleka katika kukamilisha usajili wake katika klabu hiyo kwa ada ambayo inatarajiwa kuwa ni uhamisho wa kuvunja rekodi ya dunia akitokea katika klabu ya Tottenham.
Kigogo hicho cha Hispania bado kipo katika mazungumzo juu ya ada ya uhamisho wake mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24 uhamisho unatarajiwa kuwa ni wa pauni milioni £86.
Spurs kutoka London ya kaskazini imekuwa katika harakati za kusajili wachezaji wa kimataifa sita wakitumia zaidi ya pauni milioni £90.
Hii leo klabu hiyo imethibtisha kumsajili mshambuliaji wa Roma, Erik Lamela na mlinzi wa Steaua Bucharest Vlad Chiriches ikiwa ni nyongeza baada ya kuwasili kwa kiungo Etienne Capoue na Paulinho, winga Nacer Chadli na mshambuliaji Roberto Soldado.

Bado wanasaka saini ya ya mdenishi kiungo Christian Eriksen kutoka katika klabu ya Ajax.

Thursday, August 29, 2013

Ni muda sasa kwa Arsene Wenger kusaliji wachezaji wakali duniani kwani droo ya ligi ya mabingwa imemtupa pabaya dhidi ya Dortmund, Marseille AND Napoli.

Tough test: Arsene Wenger's Arsenal have been drawn with Marseille, Dortmund and Napoli
Tough test: Arsene Wenger's Arsenal have been drawn with Marseille, Dortmund and Napoli

Arsenal face a tough task in the Champions League group stages after being drawn with Borussia Dortmund, Napoli and Marseille.
Celtic also face a challenge as Neil Lennon's side face Barcelona, AC Milan and Ajax.
Manchester City face European champions Bayern Munich, as well as CSKA Moscow and Viktoria Plzen.
Chelsea boss Jose Mourinho will be pleased with the draw as the Blues take on Schalke, Basle and Steaua Bucharest.
David Moyes can also be happy with his first Champions League draw at Manchester United after placed in Group A with Shakhtar Donetsk, Bayer Leverkusen and Real Sociedad.
More to follow.

GROUP A

Manchester United
Shakhtar Donetsk
Bayer Leverkusen
Real Sociedad

GROUP B

Real Madrid
Juventus
Galatasaray
FC Copenhagen

GROUP C

Benfica
Paris Saint-Germain
Olympiakos
Anderlecht

GROUP D

Bayern Munich
CSKA Moscow
Manchester City
Viktoria Plzen

GROUP E

Chelsea
Schalke
Basle
Steaua Bucharest

GROUP F

Arsenal
Marseille
Borussia Dortmund
Napoli

GROUP G

Porto
Atletico Madrid
Zenit St Petersburg
Austria Vienna

GROUP H

Barcelona
AC Milan
Ajax
Celtic

makundi ya EUFA haya hapa droo imekamilika

A UEFA Champions League winner with Real Madrid CF in 2002, Luís Figo has been appointed as a ambassador for the 2014 final on 24 May in his home city of Lisbon.


Group A: Man United, Shakhtar Donetsk, Bayer Leverkusen, Real Sociedad

Group B: Real Madrid, Juventus, Galatasaray, Copenhagen, 

Group C: Benfica, PSG, Olympiacos, Anderlecht

Group D: Bayern Munich, CSKA Moscow, Manchester City, Viktoria Plzen

Group E: Chelsea, Schalke, FC Basel, Steaua Bucharest

Group F: Arsenal, Marseille, Dortmund, Napoli

Group G: Porto, Atletico Madrid, Zenit, Austria Vienna

Group H: Barcelona, AC Milan, Ajax, Celtic

Eto'o na Mourinho wathibitishwa rasmi kuungana tena Chelsea baada ya Eto'o kusaini mkataba wa mwaka mmoja.

Parading: Eto'o has signed for Chelsea
Parading: Eto'o has signed for Chelsea
Pen to paper: Eto'o signs the contract in the presence of Chelsea club secretary and director David Barnard
Pen to paper: Eto'o signs the contract in the presence of Chelsea club secretary and director David Barnard
Pleased to be here: Eto'o has signed on a free transfer
Pleased to be here: Eto'o has signed on a free transfer


 Chelsea have confirmed the signing of Samuel Eto'o on a free transfer.

The 32-year-old Cameroon forward is understood to have signed a stunning £7million one-year deal, although he had to take a huge pay cut from the £17m a year which made him the world's best paid footballer at Anzhi Makhachkala.
Jose Mourinho hinted Chelsea had given up their pursuit of Manchester United striker Wayne Rooney after two rejected bids and now has turned to 'plan b'.
Mourinho and Eto'o are to be reunited after working together at Inter Milan.

SAMUEL ETO'O FACTFILE

1981: Born Samuel Eto'o Fils on March 10 in Douala, Cameroon.
1997: Makes his international debut for Cameroon in a 5-0 friendly loss to Costa Rica. Signs contract with Real Madrid, but is loaned out to Leganes.
1998: June - Included in Cameroon's World Cup squad aged 17 years and three months. Becomes the youngest player to feature at France 98, during a 3-0 group-stage loss to Italy.
1998: July - Loaned by Madrid to Real Mallorca.
2000: February - Wins African Nations Cup as Cameroon beat Nigeria in a penalty shoot-out.
July - Makes move to Mallorca permanent.
September - Scores from open play and adds a penalty in the shoot-out of the 2000 Olympic Games final as Cameroon beat Spain to take the gold medal.

2002: Helps Cameroon lift the African Nations Cup for a fourth time after penalty shoot-out win against Senegal.
2003: May - Scores two late goals in the Copa del Rey final to help Mallorca beat Recreativo de Huelva.
2004: July - Signs for Barcelona for around £21million.
2005: May - Scores 25 goals in 37 league appearances to help Barcelona win Primera Division.
December - Finishes third in FIFA World Player of the Year voting.

2006: May - Collects another Primera Division title and finishes as league's top scorer with 26 goals. Scores equaliser as Barcelona come from goal down to beat Arsenal 2-1 in Champions League final in Paris.
2007: February - Refuses to come on as substitute for Barcelona in a league match against Racing Santander.
October - Receives Spanish citizenship.

2009: May - Helps Barcelona achieve league, cup and Champions League treble. Scores 30 league goals and nets as Barcelona defeat Manchester United 2-0 in Rome to land their European title.
July 27 - Signs five-year deal with Inter Milan, as part of exchange move involving Zlatan Ibrahimovic.

2010: March 17 - Scores as Inter win 1-0 at Chelsea to complete aggregate 3-1 success in Champions League second round.
May - Helps Inter win the Champions League, Serie A and Coppa Italia - for Eto'o a second successive treble-winning season.

2011: May - Ends the season with 37 goals for Inter, but the club miss out on Champions League and Serie A silverware. Inter retain Coppa Italia as Eto'o scores twice in 3-1 win over Palermo in the final.
August - Joins big-spending Russian club Anzhi Makhachkala, reputedly on a world-record salary for a footballer worth an annual £17million after tax.

2013: August 29 - After Anzhi rein in their spending, Eto'o is allowed to join Chelsea on a one-year contract.

Samwel Eto'o sasa mali ya darajani akubali pauni milioni £10 na kujiunga tena na Mourinho.

Eto'o in a Chelsea shirt (as imagined by Sportsmail)
Full steam ahead: Samuel Eto'o arrived at St Pancras station on Wednesday night ahead of his move to Chelsea

Done deal: Chelsea will confirm the signing of Samuel Eto'o as Jose Mourinho ends his search for a striker
Chelsea bound: Cameroon striker Eto'o arrives at St Pancras
Eto'o with Pini Zahavi

Seal the deal: Eto'o shakes hands with Pini Zahavi (left picture) and strides towards his car (right)

Whisked away: Eto'o leaves St Pancras after arriving in London
Whisked away: Eto'o leaves St Pancras after arriving in London

Whisked away: Eto'o, who is set to take a huge pay cut to join Chelsea, leaves St Pancras on Wednesday night
Solution? Samuel Eto'o will seal his move to Chelsea as Jose Mourinho ends his striker search
Solution? Samuel Eto'o will seal his move to Chelsea as Jose Mourinho ended his striker search
Top target: Mourinho didn't select any strikers at Old Trafford and is known to be chasing Wayne Rooney
Target: Mourinho didn't select any strikers at Old Trafford and the chase for Wayne Rooney seems to be over

 Chelsea will sign Samuel Eto’o on a stunning £7million one-year deal on Thursday after admitting defeat in their pursuit of Manchester United striker Wayne Rooney.

Eto’o, the 32-year-old Cameroon forward, is taking a huge pay cut from the £17m a year that made him the world’s best paid footballer at Anzhi Makhachkala and will sign on a free transfer.
However, Anzhi are understood to have sweetened the deal by giving Eto’o a multi-million-pound lump sum to get him off their wage bill.
He arrived at London's St Pancras station on Wednesday night, where he was pictured with super-agent Pini Zahavi, and is due to have a medical at Chelsea’s Cobham training ground before finalising terms after his advisers held talks.

 NO OLDS BARRED AT CHELSEA

Chelsea have dabbled before with veteran forwards — and seen very mixed results . . .
George Weah
Africa’s greatest ever player arrived in 2000 from AC Milan, aged 33. He was rarely given a chance under Gianluca Vialli, despite scoring on his debut against Spurs.
VERDICT: Miss.
Gianfranco Zola
Came to London in 1996 at 30 years old and was a revelation. Turned out 312 times, scoring 80 goals, and earned the Bridge’s eternal respect.
VERDICT: Hit.
Gianluca Vialli
The 32-year-old rejected Rangers to sign for Ruud Gullit in 1996. It was £600,000 well spent. Vialli netted 40 goals in 78 games, then proved a successful manager.
VERDICT: Hit.
Pop Robson
The Newcastle and West Ham legend joined Chelsea aged 36 in 1982. He scored on his debut, but added just two more goals as he combined playing with coaching.
VERDICT: Miss.
Andriy Shevchenko
Milan mourned when Sheva left ahead of his 30th birthday for £30.8m. But Chelsea fans were soon feeling depressed too as the Ukrainian laboured to 22 goals in three miserable seasons.
VERDICT: Miss.
Chelsea coach Jose Mourinho, a confirmed Eto’o admirer, turned to his Plan B after United refused to sell Rooney.
Indeed, the England striker’s immediate future at Old Trafford looks assured after he took to his Facebook page to voice appreciation of the support he received from United fans during his outstanding performance in Monday night’s goalless draw between the sides.
Rooney posted: ‘It was an unbelievable reaction from the fans, so thank you. I really appreciate your support. It means a lot.’
Mourinho may try again for Rooney later in the season, but for now he is content with Eto’o, about whom he once said: ‘Any coach would be stupid not to want to have a striker like him.’
There is a kinship between the Chelsea coach and his new signing.
Eto’o has never been short of an opinion. At Barcelona he took a microphone on live television and called his former club Real Madrid ‘b*****ds’ to celebrate Barcelona’s 2005 Spanish title; he dared to publicly attack Ronaldinho’s work-rate and justifiably threatened to leave the field when racially abused from the stands in Zaragoza.
It is no surprise that his first exchange with Mourinho was a heated one.
In the tunnel at Stamford Bridge in 2005 when Chelsea beat Barcelona in the Champions League, a melee followed between players, and Eto’o was vocal in his opinion of Chelsea’s tactics. Mourinho liked the striker’s feistiness.
‘I liked the fact he was worked up after a defeat,’ recalled the Portuguese.

Reunion: Eto'o and Mourinho won the treble at Inter Milan in 2010
Reunion: Eto'o and Mourinho won the treble at Inter Milan in 2010
Treble
That fire was put to good use when the two joined forces at Inter Milan where Eto’o was the spearhead for Mourinho’s Treble-winning side. During that time, the four-time African Player of the Year scored a winner at Stamford Bridge to end Chelsea’s Champions League hopes.
Silky of touch, dedicated and clinical, Eto’o is also one to nurture the young players around him, a factor that will not be lost on his coach.
Questions will be asked whether he has the pace which made him such a feared opponent in Italy and Spain and there was evidence in Russia and the Europa League last year that his power is dwindling with age.
However, his speed of thought and relationship with Chelsea’s other Anzhi recruit, the Brazilian Willian, still spawned a goal ratio of one every two games. It is a gamble Mourinho is prepared to take and one appreciated by Eto’o.
‘There is only one Jose Mourinho,’ Eto’o once said about his former manager. ‘I have played under a lot of great coaches but there is no other character in the game like Jose.
defeat: The signing effectively kills any hope Mourinho had of signing United striker Rooney
Defeat: The signing effectively kills any hope Mourinho had of signing United striker Rooney
Writing's on the wall: Wayne Rooney took to Facebook to thank Old Trafford fans on Monday night
Writing's on the wall: Wayne Rooney took to Facebook to thank Old Trafford fans against Chelsea

'I would like to have the chance to play under him again because it is never boring when Jose is around.’ Eto’o’s arrival comes as a further blow to the three strikers already at Stamford Bridge.
Fernando Torres and Romelu Lukaku were on the bench at Old Trafford on Monday night and Demba Ba, wanted back at Newcastle by Alan Pardew, was not even in the squad.
The arrivals of Willian and Eto’o will not signal the end of Chelsea’s spending. The club are in talks with Porto for Christian Atsu, a £4m-rated winger also wanted by Cardiff, Tottenham and Liverpool. But the 21-year-old Ghana flyer is concerned he will get little playing time among Chelsea’s galaxy of attacking stars.
If they do sign Atsu ahead of free-spending Spurs, it will be a second triumph over Andre Villas-Boas this summer, following Willian.

Last week he had seemed to be on the verge of a move to White Hart Lane and even had a medical before a late move from Chelsea prised him away from Tottenham.
Mourinho gave evidence on the 25-year-old’s behalf to convince the Home Office to grant him a work permit.
Another new face: Chelsea are also in talks to sign Porto's Ghanian winger Christian Atsu
Another new face: Chelsea are also in talks to sign Porto's Ghanian winger Christian Atsu

A delighted Willian said: ‘It’s going to be an immense pleasure to work with Jose Mourinho, to listen to him and learn from him. He’s one of the best coaches in the world with everything he’s won. I’m sure I’m going to learn a lot and improve a lot.
‘My style is that I like to dribble a lot and play with speed. I like to accelerate very fast with the ball. I’m also quite technical and like to shoot at goal.
‘When the offer came I never gave a thought to anybody else, I said to myself that I would run here, and I’m happy to be here now. Chelsea was always my first choice.’