KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, August 26, 2013

JE Special One Mourinho yuko tayari kumuuza Juan Mata? Tottenham wanamtaka Mata kuziba pengo la Bale baada ya kumkosa Willian .

Wanted man: Chelsea midfielder Juan Mata (centre) is a target for several clubs, including Tottenham
Kiungo wa Chelsea Juan Mata (katikati).
 Tottenham inajioanga kwa ajili ya kunasa saini ya kiungo wa Chelsea Juan Mata.
Klabu hiyo kutoka London ya Kaskazini inatarajia kupokea pauni milioni £86 za mauzo ya Gareth Bale aambaye anatarajia kuelekea Real Madrid inaonyesha nia ya kumsajili Mata kama mbadala wa winga huyo raia wa Wales.
Licha ya kuwa katika mafainikio katika misimu miwili ndani ya Stamford Bridge club, Mata anakabiliwa na changamoto mkubwa msimu huu wa kutokucheza sehemu kubwa ya michezo ya klabu hiyo kutokana na kuwasili kwa Willian aliyetua kwa pauni milioni £30.
Mbrazil Willian tayari amekamisha vipimo vya afaya ndani ya White Hart Lane lakini amechagua kujunga na wapinzani wao wa jiji la London na kuacha mahusiano baina ya pande hizo mbili katika mashaka makubwa.
Hata hivyo haizimi fikra za Spurs kumtaka mchezaji huyo ingawa Chelsea imekanusha kupokea ombi lolote.
Atletico Madrid ilikuwa klabu ya kwanza kuonyesha nia kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 na walikuwa wakimtaka kwa mkopo.
Willian
Willian

Mbadala? Chelsea imemsajili Willian kwa pauni milioni £30 ikidaiwa kuwa Jose Mourinho hamtaki Mata.

No comments:

Post a Comment