KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, August 9, 2013

Tottenham wanataka Madrid kumjumuisha na Rodriguez ili kufikia makubaliano ya Gareth Bale kung'oka

Spurs keen to add Rodriguez to Bale negotiations
Jese Rodriguez may be involved in the Gareth Bale transfer (Picture: Getty)
Tottenham wanamtaka Jese Rodriguez kuongezewa kama sehemu ya kukamilisha mpango wa usajili wa Gareth Bale kujiunga na Real Madrid, hii ni kwa mujibu wa taarifa kutoka nchini Hispania.

Licha ya kuwepo na presha kubwa majira haya ya kiangazi , Spurs mpaka sasa imefanikiwa kusimama na msimamo wao wa mshambuliaji huyo nyota kutakiwa na Madrid.


Lakini pamoja na kwamba zimesalia wiki tatu kabla ya dirisha la usajili kufungwa, majadiliano yamekuwa yakiendelea na yanatarajiwa kuendelea tena baadaye  But with just over three weeks of the transfer window remaining, negotiations are set to come to a head in the near future and Spurs chairman Daniel Levy is thought to have made his demands known, according to newspaper AS.
Spurs keen to add Rodriguez to Bale negotiations
Gareth Bale remains a Spurs player despite Real Madrid’s interest (Picture: PA)
Real president Floerntino Perez yesterday admitted €100m may be too much to spend on the 24-year-old Welshman, but it looks as though the Spanish giants will have to part with more than just cash if they want to secure his signature.

Spurs were reported to have also been interested in Alvaro Morata, but Madrid dismissed that option out of hand, leaving Levy and Andre Villas-Boas to reassess the areas they want to strengthen.
However, Rodriguez is not thought to be keen on leaving the Spanish capital and his wishes could see both Spurs and Real return to the drawing board.

No comments:

Post a Comment