Mwenyekiti wa chama cha soka nchini England FA Greg Dyke hatarajii England kushinda kombe la dunia nchini Brazil mwakani.
Dyke alikuwa akiongea katika mkutano jijini London hapo jana Jumatano akisema kuwa timu ya taifa ni lazima idhamirie kufika katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Euro 2020 na kushinda kombe la dunia 2022.
Amenukuliwa akisema
"Haimaanishi kuwa hatuwezi kufanya vizuri nchini Brazil endapo kama tutafuzu"
England katika michuano ya hivi karibuni.
- Euro 2012: Quarter-finals (on penalties)
- World Cup 2010: Last 16
- Euro 2008: Did not qualify
- World Cup 2006: Quarter-finals (on penalties)
- Euro 2004: Quarter-finals (on penalties)
"Sidhani kama kuna mtu kwakweli anadhani kwamba tunakwenda kushinda kombe la dunia nchini Brazil."
England inakazi kubwa kuhakikisha inafuzu kombe la dunia.
England kwasasa iko katika nafasi ya pili katika kundi H ikiwa na mbili pungufu ya vinara wa kundi hilo Montenegro, ambao wana mchezo mmoja zaidi.
Dyke ambaye alichukua nafasi ya kuongoza FA akichukua nafasi ya mtangulizi wake David Bernstein
mwezi Julai, pamoja na yote ana imani England itafuzu kwenda Brazil lakini haamini kama kikosi hicho kitafanya vizuri katika fainali hizo katika bara la Marekani ya Kusini.
He later told the BBC: "The real challenge for us
looking forward is that we've gone from 70% English players in the
Premier League to 30% and it's still falling.
"If that continues, we won't have a chance in hell in
future tournaments. We have got to stop that decline and we've got to
get more English players playing at the highest level."
Dyke also announced plans to create a Football Association Commission aimed at improving England's long-term prospects.
The commission will begin its work later this month and aim to publish its evidence and recommendations by spring 2014.
Dyke hopes former England managers such as Fabio
Capello and Steve McClaren will give their views on the English game and
also wants Premier League chief executive Richard Scudamore, along with
representatives of other English leagues, to attend.
Asked if sufficient compromise can be reached over the
competing interests of the professional game and the needs of the
national side, Dyke said: "Everyone in football wants a successful
English team.
"Does it mean compromises? Probably. Are those compromises too great? I don't know yet."
Dyke admitted the hardest task would be to implement any ideas the commission came up with.
"That is going to be difficult," he said. "I've no
doubt we'll come up with some things that have no chance of being
implemented. I think we'll come up with others that could easily be
implemented."
"Everyone can say we want quotas on foreign players.
First of all, I doubt that's legal with European players. Secondly, one
of the other theories is that foreign players are cheaper than English
players. If that's the case, quotas just make English players even more
expensive.
No comments:
Post a Comment