KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, September 2, 2013

Yametimia: Bale sasa ni winga wa Real Madrid amethibitishwa kuwa ndiye rekodi mpya ya dunia ya pauni milioni £86.

He's here: Real Madrid's new recruit Gareth Bale poses with fans after arriving at Barajas Airport
Gareth Bale akiwa amepozi na mashabiki wa klabu yake mpya ya Madrid baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Barajas.
On the move: Gareth Bale, out in London on Saturday, has finally completed his move to Real Madrid
Gareth Bale hatimaye kafikia ndoto zake za kujiunga na Real Madrid
Final shot: Bale is leaving Tottenham after featuring in just one pre-season friendly this campaign
Picha ya mwisho: Bale anaondoka Tottenham baada ya kuichezea klabu yake ya zamani mchezo mmoja tu katika michezo ya maandalizi ya msimu 

 Madrid yathibitsha Bale amejiunga nao na kumaliza saga kubwa la uhamisho wa kiangazi.
  • Ada ni ya rekodi ya dunia ya pauni milioni £86 ambayo imeipita ile ya Ronaldo ya pauni milioni £80
  • Winga huyo wa Wales ameondoka Spurs baada ya miaka sita iliyokuwa ya furaha lakini amesea ni muda wa kusema goodbye'
  • Mwenyekiti wa Spurs Daniel Levy na bosi Andre Villas-Boas wamemtakia kila la kheri.
Hatimaye saga kubwa la uhamisho wa majira ya kiangazi linalo muhusu Gareth Bale limekamilishwa usiku mkubwa wa kuamkia leo ambapo amekamilisha uhamisho wenye tahama kubwa kabisa duniani usiku wa kumakia leo ambapo rasmi sasa amejiunga na Real Madrid kwa ada ya rekodi ya dunia ya pauni milioni £86.
 
Baada ya mazungumzo marefu yaliyochukua karibu sehemu yote ya kiangazi winga huyo wa kimataifa wa Wales amekubalia malipo ya mwezi ya pauni £256,000 kwa wiki na kuingia mkataba wa miaka sita na leo asubuhi akitarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya kutambulihswa katika vyombo vya habari.

Katika kujaribu kutengeneza mazingira ya kumfanya Cristiano Ronaldo aliyejiunga na Madrid kwa ada ya uhamisho wa pauni milioni £80 mwaka 2009 kuendelea kuwa mwenye furaha ndani ya viunga vya Bernabeu, Real inadai kuwa ada ya Bale ni pauni milioni £78.

NICE LITTLE EARNER

Mnyambuliko wa kile atakachokuwa anachukua Gareth Bale ukiwa ni mshahara wake kuanzia kwa wiki £256,000.
Milioni £13.312 kwa mwaka
£36,471 kwa siku
£1,520 kwa saa
£25.33 kwa dakika
Meneja wa Tottenham Andre Villas-Boas ameweka wazi hilo muda mfupi baada ya kushuhudia kikosi chake kikichapwa kwa bao 1-0 na Arsenal katika mchezo wa ligi kuu ya England Barclays Premier. 

Bale, ambaye aliwasili Madrid usiku mwingi hiyo jana amenukuliwa akisema
'Ningepenga kumshukuru kila mmoja ndani ya klabu , bodi, wafanyakazi , makocha na wachezaji na zaidi mashabiki wa aina ya kipekee ambao naamini wataalewa juu ya fursa hii ya aina yake.

Jumping for joy: Gareth Bale will join Real Madrid after Tottenham accepted a fee for the Welsh wizard
Akiruka kwa furaha: Bale anaondoka White Hart Lane baada ya kufunga jumla ya mabao 55 katika jumla ya michezo 203 aliyoichezea Spurs
Gareth Bale

Gareth Bale
Gareth Bale

Mwisho wa zama: Bale, ambaye alishinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka na mchezaji chipukizi msimu uliopita anaondoka Tottenham
Star man: But Andre Villas-Boas conceded defeat in his bid to keep Bale at White Hart Lane
Andre Villas-Boas na Bale ndani ya White Hart Lane.
Waiting in the wings: Bale hasn't featured for Tottenham this season after signalling his desire to leave
Making the leap: Bale turned out sporadically for Spurs in pre-season because of injury

No comments:

Post a Comment