KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, October 10, 2013

Fabio anaungana na wachezaji wengine waliovurugwa United ambao wanataka kuondoka mwezi Januari.

Let me play: Fabio says he's looking for other clubs after just one match under David Moyes this season
Let me play: Fabio says he's looking for other clubs after just one match under David Moyes this season
Left out: Fabio's brother Rafael has won Moyes' favour on the right side of defence for Manchester United
Fabio na kaka yake Rafael pichani juu.

 FABIO DA SILVA anatakam kuondoka Manchester United baada ya kusema ameshindwa vita kupata namba katika kikosi cha kwanza ndano ya Old Trafford.
Ingawa kaka yake Rafael amekuwa katika kikosi cha kwanza cha United katika nafasi ya ulinzi wa kulia Fabio anakuwa nyuma ya walinzi wengine wa kushoto Patrice Evra na Alex Buttner .
Pengine lingekuwa ni anguko kubwa kabisa kwake endapo David Moyes angefanikiwa kuwanasa Leighton Baines au nyota wa Real Madrid Fabio Coentrao wakati wa uhamisho wa majira ya kiangazi
Fabio mwenye umri wa miaka 23 alitumia msimu uliopita kwa mkopo katika klabu ya QPR na ameitumikia United mchezo mmoja katika kampeni ya mwaka huu.
Alikuwa ni miongoni mwa  wachezaji watatu wa kikosi cha kwanza wakiwemo akina Ashley Young na Buttner, katika mchezo wa kirafiki uliochezwa bila ya watazamaji dhidi ya Barnsley siku ya Jumatatu.
Fabio, ambaye aliwasili pamoja na ndugu yake Old Trafford wakitokea katika klabu ya Fluminense mwaka 2008, amemuambia Moyes kuwa anapendea kuondoka mwezi Januari na angependelea kurejea nchini Brazil.
buttner
evra

Pecking order: Moyes prefers Patrice Evra (left) and Alexander Butter (right) to Fabio at left-back

‘I think the time has come,’ he said. ‘Maybe in the next window or even next season, I think I might leave.
‘I want to be happy. I want to play, I want to be close to my family. I may go back to Brazil, or maybe not, I’m checking with my manager to see what is the best for me.
‘There are good possibilities and I’m looking for other clubs.
‘The affection I have for Fluminense is very big, for sure. I played there for seven years, and certainly if I have to go back to Fluminense I’m going with great pride because I have a special affection for them.’

No comments:

Post a Comment